BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
BelindaJacob nafurahi kukuona umesharecover na matokeo ya jana. Nadhani mitaa ya huko ilikuwa imepoa sana kama kuna msiba...Pole sana
Asante BAK tulijua tungewamaliza kirahisi wale jamaa kumbe wapi. Na kama ulijua palipoa sana baada ya game!! Halafu kwenye bet nilitabiria wangeshinda holaaa, khaah nikaliwa!!
Ijapokuwa Spain haikucheza vizuri leo zaidi kwa formation ya kocha ya kubahatisha, bado ninamatumaini nayo makubwa. Kwa kujipa moyo, mechi ya mwanzo kwenye World Cup walifungwa na Sweden na bado wakachukua kombe.Mie bado naendelea na utabiri wangu wa Holland kuchukua ubingwa wa mashindano haya. Watajirekebisha.
Ijapokuwa Spain haikucheza vizuri leo zaidi kwa formation ya kocha ya kubahatisha, bado ninamatumaini nayo makubwa. Kwa kujipa moyo, mechi ya mwanzo kwenye World Cup walifungwa na Sweden na bado wakachukua kombe.
"Dreaming is free of charge".
Kwa kweli ikiwa final wataingia Spain na Holland, uwezekano wa Holland kuchukua kombe naupa 75%, kwani hawa walikuwa favourite kwenye final za W.Cup lakini bahati ikawaangukia Spain. Mimi siku"bet", kwa hivyo kila la heri.Final holland vs Spain ndio utabiri wangu wa hela.
Na nimesema holland wanachukua ubingwa kwahio najipa moyo nishinde hela. Lol
Kwa kweli ikiwa final wataingia Spain na Holland, uwezekano wa Holland kuchukua kombe naupa 75%, kwani hawa walikuwa favourite kwenye final za W.Cup lakini bahati ikawaangukia Spain. Mimi siku"bet", kwa hivyo kila la heri.
Of course it wont be such easy but hope is the last thing we should loose.Asante. Sema itakua ngumu sana.