Eunice Chiume, kwanini unapotosha wanachama wa NSSF?

JF wafukunyuku, naona leo ni kuibua threads za NSSF, ila inapendeza jinsi tunavyopigia kelele alafu hatua tunaona zikichukuliwa.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?

Ninanusa harufu ya personal grudges ambazo unazo kwa huyu mama, na sasa unamtafutia namna. Unaweza kusema ni habari gani ambayo uliihitaji kutoka katika hili shirika nyanyasi ukaikosa kwa sababu huyu mama alikuwa kimya? Miaka yote ya ukimya wake habri za NSSF zilikuwa hazitoki ama hoja hazijbiwi?

Ninaogopa kumtwish fedheha mtu kwa jinsi isivyo halali, kwa ajili ya watoto wangu na uzao wao.
Mifumo ya mawasiliano na migawanyo ya kazi ndani ya makampuni iko hutofautiana. Hujui ana cover mawasiliano yapi, ya ngazi gani na kazi yake inaishia wapi.

Kama ni tuhuma za kuajiri Mganda kinyume cha sheria, yeye ndiye mwajiri? Unahakika kabisa kwamba anahusika na maswala ya ajira?

Ningekukubali zaidi kama ungeuliza ufafanuzi wa ajira ile kutoka NSSF, ambao hata mimi umenikera sana, lakini si katika hali ninayoina hapa ambapo inaonekana wewe unasumbuliwa na ukurugenzi wa huyu mama zaidi kuliko uharamia mwingi tu unaofanywa na haya mashirika ya umma hasa unyanyasaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Yako mengi ya kujadili kuhusu michango ya wadau, visingizio vya huduma dhaifu wanazopewa na ulipwaji wa mafao yao ambao sasa ni kama sanda za mazishi!

Tuend kweny hoja, tuache kujadili watu. Hoja itaibua nani msababishi w majanga, nani anapwaya, nani ahanujumu, nani ni mwongo na nani ni nani ili ikibidi, tupate watu sahihi. Achana na mambo ya kutafuta watu kwa kuwatafutizia makosa ambayo yawezekana hayawahusu!.
 
Hii SSRA huwa wanafanya kazi gani? Mashirika yamefiisika, yamekopesha hovyo, wastaafu kulipwa ni shida, aaaah jamani mpaka rais aone madhaifu ya viongozi wa hii mifuko?
 
Hiyo rangi ya ngozi ni yake au kawakaidi TFDA!?
Mtu akipaka mkorogo kwangu ni dalili ya kujikana mwenyewe na daima hawezi kuongea kitu nikamsikiliza.
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?

Huu muda wa kuangaika na maisha ya watu ningekushauri utafute good qualifications za kushindana na washindani wako utaonekana tu kama unashine na utafika kileleni. Watu wa design hii makazini na Uwezo ni mdogo
 
MMGL0274.jpg

Huyu mama ndio mkurugenzi wa Mawasiliano wa shirika la NSSF. Huyu miaka yote amekuwa mwoga wa kujitokeza kujibu hoja mbali mbali zinzohusu shirika hili kwa waandishi wa habari na umma kwa ujumla.

Lakini wiki iliyopita kwa spidi ya ajabu kabisa, kwa kushirikiana na waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alijotokeza kutangazia dunia kupitia mitandao kama vile Whatsapp, facebook, twitter, instagram, viber,google+, na vizingnezo uteuzi tata wa raia wa Uganda (DR CARINA) kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi la NSSF.

Cha ajabu ni kuwa masaa 4 baada ya Jamiiforums kujulisha dunia kuwa huyu aliyepewa hiyo nafasi si mTanzania na ku challenge Waziri Mhagama na watu wake waonyeshe ushaidi kuwa ni mTanzania ilibidi wizara itoe Tamko la kuondoa uteuzi wake

Na ajabu zaidi ni kuwa huyu huyu Mama (Eunice Chiume), amekuwa kimya kwani:

Hajatoa taarifa yoyote ile kwa wanachama, umma na dunia kwa ujumla juu ya kutenguliwa kwa uteuzi wa Dr (MGANDA) Carina.

Sasa inamaana huyu Eunice Chiume anafanya kusudi au hataki kuujulisha umma na wanachama wa NSSF kinachoendelea kwenye hilo shirika au kuna siri gani ambayo hataki tujue au naye anasubiri maelekezo toka kwa Magori?

Majipu yaliyokomaa
 
Back
Top Bottom