tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,440
tumewaita/tumewaalika kuangalia (observe) uchaguzi+tumewaomba msaada kugharamia uchaguzi. Sasa umeona wapi observer asiyetoa report? Observers waliotoa report iliyowapendeza mlirudiarudia kuzitangaza report zao mkafurahiii na kucheka hadi mkaachia ushuzi. Hii report ya EU haijawapendeza, mnalialia. Wao walichoona sio lazima na wewe ukione na ni mjinga tu anayelazimisha kila mtu aone kama anavyoona yeye