EU court removes Hamas from terror blacklist

EU court removes Hamas from terror blacklist

Status
Not open for further replies.
Amystice

Mkuu, hapa kuna mengi ya kutazama.
Kwanza Israel ni sovereignty State. Ikiwa na maana kuwa inayo haki ya kimsingi ya kujilinda dhidi ya adui kwa gharama yoyote. Hii inatosha kuindoa Israel kwenye ugaidi ukichukuliA ugomvi wa Israel umelenga kundi LA Hamas ambalo limetambuliwa kama kundi LA kigaidi. Taifa liko kwenye vita dhidi ya ugaidi. Inabidi marekani aongeze donation kuendeleza vita dhidi ya Ugaidi. Kimsingi kama ni kosa basi labda uite uhalifu wa kivita umefanywa na Israel.

Pia ukija kwenye definition ya Ugaidi..hii pia inawaondoa.
Pia by definition ugaidi hauna uhusiano na swala LA idadi gani umeua kuliko mwenzako. Haya sio mashindano ya kutafuta mshindi.LA! Ugaidi sio quantity Bali mbinu chafu zinazojenga hofu kwa raia wasio na hatia.pale RAIA wanapojihisi insecure. Wasijue wajiokoaje na vitisho na hofu.
Ukiielewa hapa utaona mwenye kuwa na nafasi ya kutengeneza hofu kwa mwenzake ni Hamas na sio Israeli. Israel ikifanya kosa linaweza kupelekea manung'uniko na kauli A kulaano kimataifa.na kukawa na repurcusion mbaya kwa serikali ya Israel.lakini sio kwa Hamas.

Tukirudi kwenye swala LA uhalifu. Unakuta Israel hawakuwaua kwa kupenda kuna kila ushahidi kuwa Hamas walikuwa wakiwatumia kama ngao.na wapalestina wenyewe wamerekodiwa na wamejitetea wakitetea Israel dhidi ya Hamas
Kwakuwa Hamas ilikuwa invisible kwenye JumuiyA ya kimataifa ni rahisi zaidi kutafuta kasoro za Israel na ukaachana na Hamas.
Kwani Hamas imekuwa haitambuliki kwa muda mrefu.

Na vita iliendelea kwasababu ya Hamas na si Israel.
Pia mahojiano ya kiongozi wa Hama's akiwa Qatar alisema kuwa wanapotipa makombora Israel hawajui yanalenga sehemu gani. Kwakuwa hawana radar na ramani kama israel.Ila wanajitaidi wasipige RAIA. Kauli hii inatosha kukufanya uone kuwa Hama's wafanyacho ni kudhamiria kuua waisrael kupitia kutojali mahali wanashambulia.
in short, a terrorist is someone who attacks soft targets like civilians. Some who uses fear to get what they want. Israel is killing defenseless civilians, then they are also terrorist..!!
 
Nonda and Elungata

[/FONT][/COLOR]
Therefore, from an Islamic point of view, there is NO fundamental reason which prohibits Muslims from recognizing Israel as a friendly State.

cc: Eiyer Mkuu wa chuo 2013 NZIKU

We hata ukijifanya Ku ignore mi ntakupa ukweli tu.

Km Wayahudi Hapo ni Kwako ilikuwaje Mpaka waingereza wawalete hapo na meli na kuwagawia Mipaka Utafkiri nchi hio ilikuwa ya Mama yao?

Tazama Upate kuelimika we mgalatia.

View attachment 212731

Kwanini Kikaliwe kikao back in1946 na kuwagawia hawa mbwa ardhi ya watu?
Halafu baada ya Nchi za Europe Zote KUKATAA KUKARIBISHA Hao Nguruwe Ikaamuliwa Bora wapelekwe huko Kwa Wapalestina?
Why?
Wapi Umeshawahi Kusikia Ktk Historia Mtu anakaliwa kikao na so called UN ili aamuliwe Kupelekwa kwake?

Hawa makafiri hawana kwao, wanasapa sapa km Bata Yatima.
Na mwisho wako Hatokuwa Mbali sana.
Wale jamaa wenye vilemba Vyeusi wanawapigia hesabu kila siku.
 
Last edited by a moderator:

I don't think so. "what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians"

Hamas is not a people fighting back. They are the ones initiating the attacks and the Israeli's are defending their civilians. This is a FACT, you clearly choose to overlook.

[FONT=inherit !important][FONT=inherit !important]It would behoove you to get a balanced look at the situation and not just the spoon fed lies you get when Googling the Internet for 'proof' of crimes. Hamas are the terrorists, this is a fact. Israel is not.

[/FONT][/FONT]

Israel is feeding your family with illegal money that's why you have no shame to write what you have written.

Look at the fact here from LEGITIMATE SOURCE you Iblis nabtal.

Children killed and injured by Israel's latest assault

http://stopwar.org.uk/news/the-children-of-gaza-a-generation-scarred-by-israeli-barbarism-and-siege

According to the United Nations, between July 7 and August 25 the Israeli military killed at least 495 Palestinian children in Gaza during “Operation Protective Edge.” The Al Mezan Center for Human Rights puts the number at 518, while the Palestinian Center for Human Rights puts it at 519. All three figures exceed the number of Palestinian children killed in the last two major Israeli assaults on Gaza combined, approximately 350 during “Operation Cast Lead” in 2008-9 and 35 in November 2012. The number of children killed also exceeds the total number of Israelis, civilians and soldiers, killed by Palestinians in the last decade.

http://stopwar.org.uk/news/the-children-of-gaza-a-generation-scarred-by-israeli-barbarism-and-siege

UN is Telling us Those Israeli PIGS killed over 500 Kids and Babys who cant defend theself.
I wish your mama and your siblings be one of the dead. May be you will learned a thing or two!

If ISRAEL is not A TERRORIST then There is no terrorism in this planet.

Shame on you Abtal. Ugly face.
 
Americans who fought the american revolution can most certainly be labeled as terrorist, just the same that we label britain with similar rhetoric.
Each country portrays the revolution totally differently, in fact the way i learn about the revolutions paints the britain as barbaric. Yet americans were no different in many ways, history of ones country anywhere else is pretty bias towards the country it is taught.
Hamas is indeed fighting for its land and its freedom, just as it carry out attacks against israel and civilians, but israel does the same as well. Israel inflicts huge civilians lost, if even more so than hamas. And israel is a jewish state, higher preach similar hatred and rhetoric as well.
Finally !!
This is why i love the EU !
 
England and its allies called MANDELA Terrorist. And all the ANC as the Terror Group.
Today He is a Hero.

Shame on all Racist and their sympathisers like that black jew who conned people for living Ishmael
 
Last edited by a moderator:
England and its allies called MANDELA Terrorist. And all the ANC as the Terror Group.
Today He is a Hero.

Shame on all Racist and their sympathisers like that black jew who conned people for living Ishmael
i guess you are forgetting MLK, Gandhi and all other effective protesters..
 
naona unatoka povu tu. Hii surah al israai ni ya kina nani 17. Sura al israai (bani israil)

hio sura labda imo kwenye biblia mpya...maana agano la kale haimo wala la zamani haimo labda msha chakachue tena na mkaweka sura al israali.
Hakuna sura kama hio ndani ya quraan.
Usipotoshe mayahudi hawana hadhi ya kupewa sura yao kwenye kuraani . Kuna sura ndani ya quraan inataja visa vyao na kutokana na ule ufedhuli wao basi mpaka hio sura inaitwa sura ya ngombe !!! Upo hapo
cc kahtaan
 
Crabat mi naona viceversa..
Kumbuka Koran imetabiri kuwa mwishowe watarudi nchi yao ya ahadi. Hii INA maana inajua wazi watatawanyika kabla ya kurudi...

Sura gani na aya gani ilo tabiri kurudi kwao hawa washenzi ?
 
Wazaramu wana nchi? Kama kabila hili halina nchi unafikiri wayahudi watakuwa na nchi?
Wayahudi hawakuwa na nchi bali waliishi kijijini/vijijini.

Maisha yao ni kama wamamsai wanatafuta malisho sehemu zozote. wapenda riba hawa walikimbia vijijini kwao na kuchangamkia masarafu tu.

Hawakuwa na nchi kwa maana ya nchi.

Wapalestina je?
 
Last edited by a moderator:
We hata ukijifanya Ku ignore mi ntakupa ukweli tu.

Km Wayahudi Hapo ni Kwako ilikuwaje Mpaka waingereza wawalete hapo na meli na kuwagawia Mipaka Utafkiri nchi hio ilikuwa ya Mama yao?

Tazama Upate kuelimika we mgalatia.

View attachment 212731

Kwanini Kikaliwe kikao back in1946 na kuwagawia hawa mbwa ardhi ya watu?
Halafu baada ya Nchi za Europe Zote KUKATAA KUKARIBISHA Hao Nguruwe Ikaamuliwa Bora wapelekwe huko Kwa Wapalestina?
Why?
Wapi Umeshawahi Kusikia Ktk Historia Mtu anakaliwa kikao na so called UN ili aamuliwe Kupelekwa kwake?

Hawa makafiri hawana kwao, wanasapa sapa km Bata Yatima.
Na mwisho wako Hatokuwa Mbali sana.
Wale jamaa wenye vilemba Vyeusi wanawapigia hesabu kila siku.

Mkuu nenda upya kasome historia ya waisrael. Utakuta wakati walowezi wanahamia Israeli wakitokea Ulaya mgharibi. Marekani na Russia. kulishakuwa na familia kongwe ya waisraeli mahali pale iliyoishi karne n karne.
Na ndio walio wapokea. Ndugu zao.
Isipokuwa walikuwa wachache.
Pengine shida hapa kwa sasa ni ardhi kutokana na Sera ya Zionism. Ambayo inawafanya waisrael waendelee kujitanua zaidi.
Ndio maana black Jews wanakumbana na ubaguzi kwa kiasi fulani
 
Mkuu nenda upya kasome historia ya waisrael. Utakuta wakati walowezi wanahamia Israeli wakitokea Ulaya mgharibi. Marekani na Russia. kulishakuwa na familia kongwe ya waisraeli mahali pale iliyoishi karne n karne.
Na ndio walio wapokea. Ndugu zao.
Isipokuwa walikuwa wachache.

Yanini kuleta domo kaya?
Mi nimekuwekea links za kuhakiki maneno yangu.
Sasa na wewe weka hio Historia Unayosema hapo juu tuone hicho unachokiandika km ni kweli.

Nimekuulizeni huko juu. Km hao wayahudi Palestine ilikuwa ardhi yao vipi wakaliwe kikao na UN na kisha Kuamuliwa kupewa Ardhi ambayo ni ya kwao?

Kwanini baada tu ya vita vya Hitler kumalizika wasiende kwao?

Kwanini Mataifa ya Europe Yalipokosa pa kuwapeleka Mpaka Waingereza wakaamua Kuwapa Hio Ardhi ya WAARABU?
Wapi umeona Mtu akaliwe kikao na mataifa ya Europe na hao baada ya kupokea baadhi ya wakimbizi wa kiyahudi wale waliobaki ndio waamue kuwapa Hio Ardhi ya WATU?

Why nyie watu huwa hamna akili ya kuuona ukweli Wazi namna Hii?

Mnapata faida gani kusema UONGO?
Kwa we kusema Ukweli kutabadili chochote kilichoko huko Palestine?

Makafiri watu wa ajabu sana.
 
How do you call an Army who poison defenceless children's with Chemical weapons BANNED BY U.N?

How do you call a Army with tanks and Helicopters attacking someone who demonstrate on the streets without any weapoms to ask the Invaders to leave their land?

what do you call an army which Use a Little Boy as a human Shields?

View attachment 212651

ISRAEL IS A FILTHY TERRORIST AND INVADERS WHO Have NO friends whatsoever in this planet.

The day they will go down. That will be the end of them rodent for Good.

And believe me tapeli No oppression in history of this planet ever last Forever!
They will go down soon. Alongside with all the guys like you who have a brown tongue for liking something nasty frm the jews backside.

Marekani na Ulaya mgharibi ni rafiki mwema wa Israel.
Mwarabu ndio gaidi mbaya zaidi kuwahi kuwepo katika historia ya mwanadamu.
Dunia ya Leo si salama tena kuishi kwakuwa Ugaidi uko mlangoni.
 
Yanini kuleta domo kaya? Mi nimekuwekea links za kuhakiki maneno yangu.
Sasa na wewe weka hio Historia Unayosema hapo juu tuone hicho unachokiandika km ni kweli. Nimekuulizeni huko juu. Km hao wayahudi Palestine ilikuwa ardhi yao vipi wakaliwe kikao na UN na kisha Kuamuliwa kupewa Ardhi ambayo ni ya kwao?Kwanini baada tu ya vita vya Hitler kumalizika wasiende kwao? Kwanini Mataifa ya Europe Yalipokosa pa kuwapeleka Mpaka Waingereza wakaamua Kuwapa Hio Ardhi ya WAARABU? Wapi umeona Mtu akaliwe kikao na mataifa ya Europe na hao baada ya kupokea baadhi ya wakimbizi wa kiyahudi wale waliobaki ndio waamue kuwapa Hio Ardhi ya WATU?Why nyie watu huwa hamna akili ya kuuona ukweli Wazi namna Hii?Mnapata faida gani kusema UONGO? Kwa we kusema Ukweli kutabadili chochote kilichoko huko Palestine? Makafiri watu wa ajabu sana.

Wayahudi original walikuwepo pale longtime.. sera ya uzayuni ndio ilitifua hali ya hewa na mwaka 1948 mambo yakawa mabaya baada ya taifa la Israel kuundwa rasmi.

1. Zionism
Towards the end of the 1800s questions arose as to how the Jewish people could overcome increasing persecution and anti-Semitism in Europe. The biblical Promised Land led to a political movement, Zionism, to establish a Jewish homeland in Palestine, in the Middle East.

From 1920 to 1947, the British Empire had a mandate over Palestine. At that time, Palestine included all of Israel and today's Occupied Territories, of Gaza, West Bank, etc. The increasing number of Jewish people immigrating to the "Holy Land" increased tensions in the region.

2.
European geopolitics
European geopolitics in the earlier half of the 20th century in the wider Middle East region contributed to a lot of instability overall. The British Empire, especially, played a major role in the region.

During World War I, in 1916, it convinced Arab leaders to revolt against the Ottoman Empire (which was allied with Germany). In return, the British government would support the establishment of an independent Arab state in the region, including Palestine.

Yet, in contradiction to this, and to also get support of Jewish people, in 1917, Lord Arthur Balfour, then British Foreign Minister, issued a declaration (the Balfour Declaration). This announced the British Empire's support for the establishment of "a Jewish national home in Palestine."

As a further complication, there was a deal between Imperial Britain and France to carve up the Arab provinces of the Ottoman Empire and divide control of the region. The spoils of war were to be shared. As with the 1885 Berlin Conference where Africa was carved up amongst the various European empires, parts of the Middle East were also to be carved up, which would require artificial borders, support of monarchies, dictators and other leaders that could be regarded as "puppets" or at least could be influenced by these external powers.

NB: The promise of liberation from the Ottomans led many Jews and Arabs to support the allied powers during World War I, leading to the emergence of widespread Arab nationalism. Both Arab nationalism and Zionism had their formulative beginning in Europe. The Zionist Congress was established in Basel in 1897, while the "Arab Club" was established in Paris in 1906.
summary
KWa ujumla Waarabu walihaidiwa na Uingereza kuwezeshwa kujitenga na Ottoman empire ikiwa watasapoti Washirika wanaopambana na Ujerumani iliyokuwa upande wa Ottoman empire(ambayo ilikuwa imekalia waarabu). Kwa vile waisrael na waarabu walisapoti Wazungu na kwa BAhati mbaya waIsraeli walihaidiwa pia. Kiasi kwamba Wazungu wakaona Waarabu na Waisrael wagawe palestina kwa wote kama suluhisho. Hapo baadae Uamuzi wa UN kugawa ardhi ya palestina kwa waisraeli ukawachukiza waarabu, ndipo waarabu wakaaungana kupambana na ISrael. kila wakigusa kipigo tu mpaka leo.

Upande wa US

3. Pressure on Truman also came from non-Jewish fundamentalists and politicians.
support for Zionism may have been a convenient way for people who did not want Jews to come to the United States to avoid appearing anti-Semitic. Hofu kuwa European Jews watakuja kupata madhara kama yaliotokea wakati wa Hitler.Na hii iliwagusa Jewish refugees zaidi.

Pia swala la UN kutetea jamii fulani isiangamie ni la msingi na halikuanza jana wala leo. Nakumbuka waliwahi kuwatetea wale ma-bushmen(Hunterer and Gatherer) wa kalahari desert - namibia ambapo wawekezaji walikwenda kule kuwatimua ili wamiliki ardhi maelfu ya Hekari. Kama ambavyo Serikali yetu inataka kuwapa waarabu ardhi ya ngorongoro inayokaliwa na wamasai.Hivyo kulinda jamii fulani is not a bad thing. Ndio Ukristo wenyewe. Mungu kawaumba waishi.

UN inadaiwa ililazimika kuwapa jews sapoti ili kuwasaidia europeans jews ambao walikuwa wanahofu kukumbana na Antisemitcs ikiwa watahamia marekani. presha ya kuundwa kwa taifa lao ikawa hot. Inasemwa kuwa Mpaka taifa la Israel linaundwa hakukuwa na na taifa la palesitne. Pia jerusalem haukuwa mji mtakatifu kwa wakati wowote ule kwa arab Muslims. Utakatifu wa Jerusalem kwa waislamu ulianza kutungwa ili wapalestine waweze ku-bargain wakienda kudai pale UN.

Link:
A Timeline of the History of Israel

Arabâ€"Israeli conflict - Wikipedia, the free encyclopedia

The Middle East conflictâ€"a brief background â€" Global Issues

_44629841_48_palsurr_ap_466x282.jpg

Palestinians during the surrender of the town of Ramle, in May 1948

http://www.palestinefacts.org/pf_mandate_riots_1929.php

http://www.palestinefacts.org/pf_mandate_riots_1929.php
---------------------------------------------------------------------------------------
Uzoefu wangu unanionyesha sisi hapa tunajadili mantiki na ukweli nyinyi mko hapa kutukana tu ili UZi ufungiwe.. Ndio maana haishangazi kuona hata katika simple truth mnataka ushahidi, na ukiwekwa mnaingia gizani. wapuuzi nyinyi.HAmna Elimu wengi wenu. Iwe ya dini wala ya kawaida ndio maana hamwezi kuwaza kama watu wenye akili. Mnajua kutukana tu humu ndani. Hoja hamna mnahoroja tu. Hovyo kabisa.
 
Wayahudi original walikuwepo pale longtime.. sera ya uzayuni ndio ilitifua hali ya hewa na mwaka 1948 mambo yakawa mabaya baada ya taifa la Israel kuundwa rasmi.

1. Zionism
Towards the end of the 1800s questions arose as to how the Jewish people could overcome increasing persecution and anti-Semitism in Europe. The biblical Promised Land led to a political movement, Zionism, to establish a Jewish homeland in Palestine, in the Middle East.

From 1920 to 1947, the British Empire had a mandate over Palestine. At that time, Palestine included all of Israel and today’s Occupied Territories, of Gaza, West Bank, etc. The increasing number of Jewish people immigrating to the “Holy Land” increased tensions in the region.

2.
European geopolitics
European geopolitics in the earlier half of the 20th century in the wider Middle East region contributed to a lot of instability overall. The British Empire, especially, played a major role in the region.

During World War I, in 1916, it convinced Arab leaders to revolt against the Ottoman Empire (which was allied with Germany). In return, the British government would support the establishment of an independent Arab state in the region, including Palestine.

Yet, in contradiction to this, and to also get support of Jewish people, in 1917, Lord Arthur Balfour, then British Foreign Minister, issued a declaration (the Balfour Declaration). This announced the British Empire’s support for the establishment of “a Jewish national home in Palestine.”

As a further complication, there was a deal between Imperial Britain and France to carve up the Arab provinces of the Ottoman Empire and divide control of the region. The spoils of war were to be shared. As with the 1885 Berlin Conference where Africa was carved up amongst the various European empires, parts of the Middle East were also to be carved up, which would require artificial borders, support of monarchies, dictators and other leaders that could be regarded as “puppets” or at least could be influenced by these external powers.

NB: The promise of liberation from the Ottomans led many Jews and Arabs to support the allied powers during World War I, leading to the emergence of widespread Arab nationalism. Both Arab nationalism and Zionism had their formulative beginning in Europe. The Zionist Congress was established in Basel in 1897, while the "Arab Club" was established in Paris in 1906.
summary
KWa ujumla Waarabu walihaidiwa kuwezeshwa kujitenga na Ottoman empire ikiwa watasapoti Washirika wanaopambana na Ujerumani iliyokuwa upande wa Ottoman empire(ambayo ilikuwa imekalia waarabu). Kwa vile waisrael na waarabu walisapoti Wazungu na kwa BAhati mbaya waIsraeli wakawa wamehaidiwa pia. Kiasi kwamba Wazungu wakaona Waarabu na Waisrael wagawe palestina kwa wote. Hapo baadae Uamuzi wa UN kugawa ardhi ya palestina kwa waisraeli ukawachukiza waarabu, ndipo waarabu wakaaungana kupambana na ISrael.

Upande wa US

3. Pressure on Truman also came from non-Jewish fundamentalists and politicians.
support for Zionism may have been a convenient way for people who did not want Jews to come to the United States to avoid appearing anti-Semitic. Hofu kuwa European Jews watakuja kupata madhara kama yaliotokea wakati wa Hitler.Na hii iliwagusa Jewish refugees zaidi.

Uzoefu wangu unanionyesha sisi hapa tunajadili mantiki na ukweli nyinyi mko hapa kutukana tu ili UZi ufungiwe.. Ndio maana haishangazi kuona hata katika simple truth mnataka ushahidi, na ukiwekwa mnaingia gizani. wapuuzi nyinyi.HAmna Elimu wengi wenu. Iwe ya dini wala ya kawaida ndio maana hamwezi kuwaza kama watu wenye akili. Mnajua kutukana tu humu ndani. Hoja hamna mnahoroja tu. Hovyo kabisa.

UN inadaiwa ililazimika kuwapa jews sapoti ili kuwasaidia europeans jews ambao walikuwa wanahofu kukumbana na Antisemitcs ikiwa watahamia marekani. presha ya kuundwa kwa taifa lao ikawa hot. Inasemwa kuwa Mpaka taifa la Israel linaundwa hakukuwa na na taifa la palesitne. Pia jerusalem haukuwa mji mtakatifu kwa wakati wowote ule kwa arab Muslims. Utakatifu wa Jerusalem kwa waislamu ulianza kutungwa ili wapalestine waweze ku-bargain wakienda kudai pale UN.

Pitia links... PUNK

A Timeline of the History of Israel

Arab–Israeli conflict - Wikipedia, the free encyclopedia

The Middle East conflict—a brief background — Global Issues

_44629841_48_palsurr_ap_466x282.jpg

Palestinians during the surrender of the town of Ramle, in May 1948

http://www.palestinefacts.org/pf_mandate_riots_1929.php

A Timeline of the History of Israel

Arab–Israeli conflict - Wikipedia, the free encyclopedia

The Middle East conflict—a brief background — Global Issues

http://www.palestinefacts.org/pf_mandate_riots_1929.php

Utumbo mtupu!
We unaleta encyclopedia kama USHAHIDI?

Elimu huna Unajaza Uharo tu humu.

Toka! Kibuda we!
 
in short, a terrorist is someone who attacks soft targets like civilians. Some who uses fear to get what they want. Israel is killing defenseless civilians, then they are also terrorist..!!
kuna kitu wanaita uhalifu wa kivita. Ikiwa anawapiga civilian ni wazi kuwa hapigani vita.Utasemaje unapigana vita ikiwa unayepigana naye hana silaha? Lakini ukisoma taarifa zinaandika vitakati ya hamas na Israel.?!!
Je kwanini basi Wapalestina walikuwa wakiwalaani Hamas japo wanakiri hawaipendi Israel? Ukweli ni kuwa Hamas ilikuwa inawatawala kwa mkono wa chuma. Ndio maana iliwachinja wale waliotaka kukimbia maeneo yanayoshambuliwa na Israel.Ikiwazuia wasikimbie. Yaani ilikuwa inawatumia kama ngao (Human Shields) na justification. NA israel imelalamika kuhusu hiki kitendo. Kikawafanya Israel wabomoe majengo mengi yanayowakaribia ili kuondoa wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiji-camouflage na raia wema.
 
Utumbo mtupu!
We unaleta encyclopedia kama USHAHIDI?

Elimu huna Unajaza Uharo tu humu.

Toka! Kibuda we!
we ushahidi wako huwa unautoa msikitini...? Hovyo kabisa...:becky:,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom