Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Wapeleke kwenu ukerewe km unawapenda kiasi hicho.
Kwani kuna mtu aliwaita hapo walipo?
Kwani mara ya kwanza walikuwa Ukerewe!?
Wapeleke kwenu ukerewe km unawapenda kiasi hicho.
Kwani kuna mtu aliwaita hapo walipo?
In this day and age, it's hard to tell any more how far a person means with their statements.kuna kitu wanaita uhalifu wa kivita. Ikiwa anawapiga civilian ni wazi kuwa hapigani vita.Utasemaje unapigana vita ikiwa unayepigana naye hana silaha? Lakini ukisoma taarifa zinaandika vitakati ya hamas na Israel.?!!
Je kwanini basi Wapalestina walikuwa wakiwalaani Hamas japo wanakiri hawaipendi Israel? Ukweli ni kuwa Hamas ilikuwa inawatawala kwa mkono wa chuma. Ndio maana iliwachinja wale waliotaka kukimbia maeneo yanayoshambuliwa na Israel.Ikiwazuia wasikimbie. Yaani ilikuwa inawatumia kama ngao (Human Shields) na justification. NA israel imelalamika kuhusu hiki kitendo. Kikawafanya Israel wabomoe majengo mengi yanayowakaribia ili kuondoa wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakiji-camouflage na raia wema.
unajua mkuu, hapa unataka ni-admiti kuwa waisrael wanaua wapalestina..wakati waisrael wanajihami na mashambulizi. wapalestina ndio chanzo cha ugaidi. fahamu hamas ni chama cha magaidi tangu awali mkuu. Pia tafuta maana ya neno UGaidi. kuua wasio na hatia hakutoshi kusema ni ugaidi. Tunaangallia ni kwa mazingira gani unaua.. Ashabaab na ISIS tunawaita magaidi hatujakosea. Lakini Kenya sio gaidi tupo sahihi piaIn this day and age, it's hard to tell any more how far a person means with their statements.
teh teh teh lazima ukubali, it's the chicken and the egg story. Is hamas behaving like that in response, or is Israel behaving like that in response?? We could argue that forever but one thing for sure; when terrorist win, they become patriots. If they lose, they die as terrorists. In South Sudan, Salva Kiir is my example, but I guess every nation has its own. If they wouldn't win, they would be recorded in history books as terrorists, that's for sureunajua mkuu, hapa unataka ni-admiti kuwa waisrael wanaua wapalestina..wakati waisrael wanajihami na mashambulizi. wapalestina ndio chanzo cha ugaidi. fahamu hamas ni chama cha magaidi tangu awali mkuu. Pia tafuta maana ya neno UGaidi. kuua wasio na hatia hakutoshi kusema ni ugaidi. Tunaangallia ni kwa mazingira gani unaua.. Ashabaab na ISIS tunawaita magaidi hatujakosea. Lakini Kenya sio gaidi tupo sahihi pia
I see, so Surat Al Israai is in the Bible? Wooowshio sura labda imo kwenye biblia mpya...maana agano la kale haimo wala la zamani haimo labda msha chakachue tena na mkaweka sura al israali.
Hakuna sura kama hio ndani ya quraan.
Usipotoshe mayahudi hawana hadhi ya kupewa sura yao kwenye kuraani . Kuna sura ndani ya quraan inataja visa vyao na kutokana na ule ufedhuli wao basi mpaka hio sura inaitwa sura ya ngombe !!! Upo hapo
cc kahtaan
teh teh teh it is an awesome hypocrisy to brand hamas terrorist without first branding the israel government terrorist. Israel does terrorize and target civilians and more steal their land and demolish homes.
Hapo wako Misri Mgalatia ISHAMael !
Israel doesn't want peace they want all the land and the Palestinians dead simple as that. And int'l community allowing all of this. Israel has no right to exist just like the South Korea.
Your cousins Hamas initiating the attacks and the Israeli's are defending their civilians. This is a FACT, you clearly choose to overlook.
Tell them [Hamas] to stop using Women and children as shield and fight like a man or just give me some plausible alternatives that can sufficiently meet the criteria.
Israel doesn't want peace they want all the land and the Palestinians dead simple as that. And int'l community allowing all of this. Israel has no right to exist just like the South Korea.
teh teh teh lazima ukubali, it's the chicken and the egg story. Is hamas behaving like that in response, or is Israel behaving like that in response?? We could argue that forever but one thing for sure; when terrorist win, they become patriots. If they lose, they die as terrorists.
Hao wa mara ya kwanza walikuwa wazungu?Kwani mara ya kwanza walikuwa Ukerewe!?
Kwani mara ya kwanza walikuwa Ukerewe!?
Are you perplexed because of truth or using paradox to support your lame argument?
O my people, enter the Holy Land which God has assigned unto you, and turn not back ignominiously, for then will ye be overthrown, to your own ruin.'"[Qur'n 5:20-21]
Moreover - and those who try to use Islam as a weapon against Israel always conveniently ignore this point - the Holy Qur'n explicitly refers to the return of the Jews to the Land of Israel before the Last Judgment - where it says: "And thereafter We [Allah] said to the Children of Israel: 'Dwell securely in the Promised Land. And when the last warning will come to pass, we will gather you together in a mingled crowd.'"[Qur'n 17:104]
unajua mkuu, hapa unataka ni-admiti kuwa waisrael wanaua wapalestina..wakati waisrael wanajihami na mashambulizi. wapalestina ndio chanzo cha ugaidi. fahamu hamas ni chama cha magaidi tangu awali mkuu. Pia tafuta maana ya neno UGaidi. kuua wasio na hatia hakutoshi kusema ni ugaidi. Tunaangallia ni kwa mazingira gani unaua.. Ashabaab na ISIS tunawaita magaidi hatujakosea. Lakini Kenya sio gaidi tupo sahihi pia
So if Hamas is not a terrorist organization, what does one call a group of 'people' who attack children, babies and pregnant women and brutally murder innocent civilians standing at a train station. What do you call a homocide bomber on a bus who commits mass murder to get to their 72 virgins. What do you call a group of people calling for the destruction of a sovereign state where all freedoms are enjoyed by all religions. If these are not terrorists please, someone explain what this murderous lot is titled?
The thing is not all criminal are terrorists, there are people who murder children, women and elderly almost in all countries, but they are not labelled as terrorists. What these criminals do in occupied territories (not justified) but is fueled by occupation and oppression, let occupation end first, let them have a country. From there it will be legal to call them terrorists.
Hamas wapo kwa kuwa ni kadi ya kisiasa ya Israeli right. Mossad can easily wipe Hamas off Gaza, but they give them that name and keep them alive, just for a reason.
They went back from Egypt.Wewe ni bonge la mpotoshaji.
Jaalia kwa mantiki ya hoja kuwa haya usemayo ni kweli. Je Moses aliwarudisha ndugu zake katika sehemu(ardhi fulani). Walirudi au waliondoka?
Sasa Kama walirudi, unataka warudi mara ngapi?
Kama waliambiwa warudi, je waliambiwa na hiyo Quran/Allah kuwa ,"Rudini, halafu muondoke tena halafu rudini tena , Ondokeni tena na baadae rudini tena?"
Wanarudi mara ngapi?
Hiyo nyekundu ni nini? Naomba uitafsiri kwa kiswahili ili wengi waweze kukuona ulivyo mwepesi kwa hoja.
Tafadhali ndugu Ishmael, myahudi wa kibongo tutafsirie hayo maandishi mekundu kwa kiswahili. kama utaweza toa na ufafanuzi.
Hao ndugu zako walirudi? Baadae walifanya nini?
Hao wa mara ya kwanza walikuwa wazungu?
Hao wa mara ya kwanza walikwenda wapi?
Hawa wa mara hii ni akina nani? Uyahudi wao wameupataje? Ni kama uyahudi wa Ishmael, 2013 na ile Mkwawa? na ile jamaa yangu mbeba kima begani?