Eti?!.............

huh huyu mwanamme kaniachia kali kwa kweli
kaamua tu kutafuta nyumba ndogo anatafuta sababu

na kwa mnaosem wanawake wawe wabunifu....sawa kweli....wanaume jee?
 
kwani kuna mahusiano ya ukubwa wa njia na habari ya kuzaa?mimi naamini ile habari ni elastic!

Ni kweli kuwa ni elastic but mara nyingi after a number of child birth ile elasticity haiwi strong tena hasa kwenye muscles ambazo zinatend kuexperience enlargement kwa sababu ya stressful expansion wakati wa kujifungua. Multiple births mara nyingi husababisha muscles hizo kuwa loose au kulegea kiasi kwamba hata yale mazoezi tunayoshauriwa kuyafanya ya Kegal hayataimprove hali kiviiile kama mwanzo
 
Kwa hiyo na huyo mbaba ajiangalie naye isijekuwa anashambuliwa na kisukari au ana unene usiofaa kama alivyosema nguli. Hivi hamuogopi kuanika udhaifu wenu?
 
Hapa kuna watu itabidi uwatake radhi. Muzee Nguli na Jitu la Matizi Bwashee Geoff.
MIMI mazoezi yangu uwanja wake ni mdogo sana!tano kwa sita tu.na zoezi jingine kubwa ni kula taska chawote
 
Hivi mkeo/mwenzi wako wa kike akwambie maneno ya kuumiza kama hayo eti siku hizi umekuwa mdogo siinjoy naenda tafuta mkubwa utajisikiaje? Hebu jamani wenye tabia ya kukashfu kama hii jaribuni kuwa na ubinadamu japo kidogo.
 
MIMI mazoezi yangu uwanja wake ni mdogo sana!tano kwa sita tu.na zoezi jingine kubwa ni kula taska chawote

Mimi sipigi vyuma vizito nafanya kwenye aerobic studio tu. So siwezi kuwa na umbo la gitaa.
 
Ni kweli kuwa ni elastic but mara nyingi after a number of child birth ile elasticity haiwi strong tena hasa kwenye muscles ambazo zinatend kuexperience enlargement kwa sababu ya stressful expansion wakati wa kujifungua. Multiple births mara nyingi husababisha muscles hizo kuwa loose au kulegea kiasi kwamba hata yale mazoezi tunayoshauriwa kuyafanya ya Kegal hayataimprove hali kiviiile kama mwanzo

Ndio maana hapa kazini kwetu kila msichana akija kuzaa wanasema dr. Nguli Cosmetic operation plz if u dont mind. Matokeo yake mnalalamika ooh Aaga la kani wanapenda ku operate ni ombi la wadada kutokana na wanaume kuwastress.
 
Ni kweli kuwa ni elastic but mara nyingi after a number of child birth ile elasticity haiwi strong tena hasa kwenye muscles ambazo zinatend kuexperience enlargement kwa sababu ya stressful expansion wakati wa kujifungua. Multiple births mara nyingi husababisha muscles hizo kuwa loose au kulegea kiasi kwamba hata yale mazoezi tunayoshauriwa kuyafanya ya Kegal hayataimprove hali kiviiile kama mwanzo

Ndio maana mie nimejiamulia tubinti tuwili tu tunatosha. Mi na wife tunaendelea na honeymoon yetu tukisubiria mahari.
 
Duu,tulishastaajabu ya Musa,acha tuyaone ya firauni!!Hiki kidume kina ibilisi wa njaa za mwili,sasa kama na hiyo nyumba ndogo nayo ikiongezeka,si kuna hatari ya kutafuta mtu mwingine huyu jamaa ni hatari wala hastahili kuitwa baba!!
 
angekuwa amejifungua kwa njia ya kawaida ningemsaidia ka ushauri mana inaweza ikawa kweli kwamba imepanuka kwa kiac fulani, amejifungua kwa operesheni then mzee anadai haya mhh cna uhakika sana,kuchokana cjui ndio kuanziaga hivi.
 
nahisi huyo bwana kwa kipindi cha ujauzito wa mkewe na miezi ya mwanzo ya kujifungua, alikuwa na kichenchedo ndo maana aliporudi kwa mkewe akaihisi ladha tofauti.
 
Chaku nakubaliana na wewe kabisa kuwa ubunifu muhmu kinachonitatiza mie ni hii solution aliyochukua huyu mbaba. Kwani kama mtu unahisi utundu wa mwenzio umepungua si kuzungumza jamani? Si ndio maana ya communication katika mahusiano? Sema wifey siku hizi mwenzio sishibi vizuri bana hebu niambie kuna nini?

Sometimes ubunifu unazuiliwa na utendaji wa kazi wa boss wewe kila siku unabuni mbinu mpya za kuwafurahisha wakati Boss hata appreciation hakuna!! Hamu ya kuendelea kubuni unaitoa wapi?

Kuna mdada mmoja yye alikuwa anapoteza muda kule kwenye blog ya Dina akijifunza namna ya kukula muwa (kwani ndo alichokuwa anakipenda mumewe) basi anamfurahisha kila siku mwanaume akitaka tu utamwona analala chali akisubiri huduma. Akishakolea anamgeuza mwenzie haraka anaingia bila kujali kama mwenzie kaloa au lah. Mwanadada kila akimwambia naye anatamani kutembelewa south mr anamwambia yeye ana kinyaa (wakati enzi za uchumba wao alikuwa anakwenda!!) Saa ngapi mdada asiache naye, basi baba kaoa mke mdogo na sababu kubwa ni kuwa mkewe sikuhizi hamfurahishi kama zamani loh.

Sasa ubunifu utauendelezaje kwa mtu kama huyu? Raha ya ushindi ushereheke na wenzio!

mie wakati mwingine najichokeaga, kuna vijiamaneno vina dhorotesha ndoa/mapenzi sema ma watu yanajisemelea tu bila kujua anamkwaza mwenzie, ndio hapo sasa wao tukiwaambia hawaturidhishi inakuwa mambo mengine, mie najibinukiaga tu cku hizi waiii....hawana jema hawa watu.
 
to be frank men wako kama watoto, wapenda waridhishwe wao tu bila kujali kama wake zao turidhika
 
Nimeipenda hiyo bold. Imeonyesha your real feelings. Pole sana Nyamayao. Uvumilivu ndio silaha ya kutunza ndoa. Hiyo red hiyo! Hiyo red! Hiyo red nakwambia! We nyamayao wewe! Hehehe! Taratibu mama! You have made my day though! kakakaka! lol!
 
kwani kuna mahusiano ya ukubwa wa njia na habari ya kuzaa?mimi naamini ile habari ni elastic!

inawezekana baby boy, kama mie nilivyomaliza kujifungua nilipewa mazoezi ya kubana misuli ya huko down....inajirudi lakini ukipata na mazoezi ya misuli inapendeza zaidi mana inarudi kwenye mbano wake wa awali.
 
to be frank men wako kama watoto, wapenda waridhishwe wao tu bila kujali kama wake zao turidhika

Hahaha! lao ndio nimejua wewe ni She. Lol! A married she! Pole sana. Mwambie mmeo wazi kuwa hujaridhika. Sometimes anakuwa hajui labda. Haya mambo yanahitaji experience ujue. Mechi za mchangani zinasaidia sana. Ila tukizicheza hizo huwa hampendagi sijui kwanini wakati mnalalamika hatuwaridhishi. Mi nachukiaga sana!
 
pole sana! lkn huo ndio ukweli, ni mara chache sana mnajali kuturidhisha
 
Nimeipenda hiyo bold. Imeonyesha your real feelings. Pole sana Nyamayao. Uvumilivu ndio silaha ya kutunza ndoa. Hiyo red hiyo! Hiyo red! Hiyo red nakwambia! We nyamayao wewe! Hehehe! Taratibu mama! You have made my day though! kakakaka! lol!

ananioteaga tu sio kila wakati ananifanyia hayo, na anajua vizuri kwamba mie nataka kuridhishwa kwenye hiyo kitu, jamani niridhike haswaa na nitosheke, sema kuna ile unamuona kweli amejichokea na nina hamu zangu bac inabidi tu tujifanyie kihivyo, otherwic awajibike ipasavyo mana na mie nawajibika......
 
Back
Top Bottom