Innocent Mrema New Member Joined Nov 23, 2020 Posts 2 Reaction score 1 Jul 9, 2022 #1 wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23]
AlexProsper JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 3,416 Reaction score 6,290 Jul 9, 2022 #2 Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Aisee
Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Aisee
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,852 Reaction score 46,126 Jul 9, 2022 #3 Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Wakina Mrema wamekuwa na IQ ndogo sana siku hizi
Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Wakina Mrema wamekuwa na IQ ndogo sana siku hizi
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 642 Reaction score 663 Jul 10, 2022 #4 Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Hivi wewe uko wapi huko ambako kuna watu wanapaa
Innocent Mrema said: wana JamiiForum, hivi na Baridi hili bado kuna wachawi wanapaa uchi?[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Hivi wewe uko wapi huko ambako kuna watu wanapaa
AlexProsper JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 3,416 Reaction score 6,290 Jul 10, 2022 #5 ndiga said: Hivi wewe uko wapi huko ambako kuna watu wanapaa Click to expand... Labda ni mmojawapo ila yuko off
ndiga said: Hivi wewe uko wapi huko ambako kuna watu wanapaa Click to expand... Labda ni mmojawapo ila yuko off
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,414 Jul 10, 2022 #6 Kwenye ulimwengu wa kichawi hakuna kitu inaitwa baridi.