Eti Yeye Ako Na Warembo!!!!!!!!!!!!!

Eti Yeye Ako Na Warembo!!!!!!!!!!!!!

Chopeko na mnofu umenikumbusha mbali sana mkuu mbali sana mkuu wangu hahahahaahahahah
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha kama elfu 60 anazolipwa Per Diem kwenye safari za maCCM zinaweza kutosha kuwa good time hawa MaBEBS...

Hili jamaa zembe sana, at 55 years of age lilitakiwa liwe na family na watoto wa kula nao good time sio kuhangaika na mapapa ya mujini. Huyu jamaa ni kichwa nazi...
View attachment 105899

Miaka 55?
Kumbe tunatakiwa tuwe tunamwamkia Shikamoo Ba' Mkubwa!!
Sasa mbona ana-ekti kama mtoto wa Form Two anayeanza kubalehe?
 
Hahah radhi ya nini tena mkuu au nawe umekula ukashiba sawasawa!!


Yap!Si unaona jina langu tu linavyohakisi muonekano wangu? Ni tusi kubwa kunifananisha na jitu kama hilo miaka 60 sasa bado lisharobaro na mambo ya kitoto hayaliishi na linaishi kwa mdingi.
 
Halafu utasikia mpumbav kama huyu soon naye kawa naibu waziri, anatoa maagizo.
Nitaingia msituni, aminia Kamanda Paul Kagame
 
Back
Top Bottom