Eti Yeye Ako Na Warembo!!!!!!!!!!!!!

Eti Yeye Ako Na Warembo!!!!!!!!!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Huyu jamaa anaonekana anapenda sana ma good times!!!!

attachment.php
 

Attachments

  • PEC.jpg
    PEC.jpg
    48.1 KB · Views: 2,434
  • PEC5.jpg
    PEC5.jpg
    33.3 KB · Views: 460
Akiwa na warembo anakuwa na babyish smile kuliko akiwa na nyinyiemu zenzie. Uza sura best, achana nao mahasimu hawa.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Yule mmama kwa nyuma alivyonuna sasa!!!
 
chopeko, umekuja lini mujini.......
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha kama elfu 60 anazolipwa Per Diem kwenye safari za maCCM zinaweza kutosha kuwa good time hawa MaBEBS...

Hili jamaa zembe sana, at 55 years of age lilitakiwa liwe na family na watoto wa kula nao good time sio kuhangaika na mapapa ya mujini. Huyu jamaa ni kichwa nazi...
View attachment 105899
 
Mshika pembe tu huyo watu wanajilia hivyo vitu....
 
Jamaa kwa totooooooooooooooooooooooz, ana PHD
 
baada ya pesa kumuishia, hao mabinti wamegombana naye na kutwa nzima wanamsuta kwenye hizo blogs zao.
 
Sipati picha kama elfu 60 anazolipwa Per Diem kwenye safari za maCCM zinaweza kutosha kuwa good time hawa MaBEBS...

Hili jamaa zembe sana, at 55 years of age lilitakiwa liwe na family na watoto wa kula nao good time sio kuhangaika na mapapa ya mujini. Huyu jamaa ni kichwa nazi...
View attachment 105899

mkuu izo picha ni za kitambo kabla hawajamaliza kumchuna dollar zake zote alizopata kwenye kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
sasa wamemkimbia wote pesa imeisha na posho haitoshi good times alizowazowesha.
 
Back
Top Bottom