Eti watu wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba

pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
650
414
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha.

Zaidi soma;

Kwamba wasiende kuzichukua au? Mimi nawashauri wakazichukue sana, ikiwezekana hata warudie Mara tatu tatu, kwasababu hizo ni fedha zao. Ila ktk kupiga kura akili kichwani kwako.
 
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha,
KILA SIKU WAPO KWENYE KAMPENI: KATIBU MKUU, KATIBU MWENEZI, MAWAZIRI, WABUNGE; BADO HAWARIDHIKI?
 
He! haya mambo bado yapo tu?
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha,
 
Unawadanganya....!.Unadhani hao wanaogawa hizo pesa ni wajinga kiasi hicho?. I guess lazima kuna mechanism fulani ya kusaini na kuongeza idadi ya member kwenye kitabu chao cha "uzima".Sio bure...!
Kwamba wasiende kuzichukua au? Mimi nawashauri wakazichukue sana, ikiwezekana hata warudie Mara tatu tatu, kwasababu hizo ni fedha zao. Ila ktk kupiga kura akili kichwani kwako.
 
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha,
Uchaguzi wa serikali za mitaa umesababisha mpaka Lugola amewatangazia askari wasikamate bodaboda na abiria ambao hawajavaa Helmet.
 
Linapokuja swala la kupewa kitu bure inabidi uwe makini sana, hasa hizi pesa za bure
Vitu vya bure vina gharama kubwa sana
 
Nimeshughudia ni wengi mno ule uwanja unaweza usitoshe
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha,
 
Aisee nimepita hapo kuna umati wa kina mama, na kwa mbele karibu na serengeti breweries nikakutana na coaster mbili zikiongozwa na escoter ya polisi waliomo ndani ya hizo coaster ni aidha chinese au koreans au yabanese, kwa hiyo yawezekana maneno ya mleta mada yakawa kweli
 
Asubuhi na mapema nilisikia kundi la watu wakihimizana kutoka haraka kwenda uwanja wa taifa sikujua wanafuata nini kumbe ahadi ya kupewa hela.

Kama ni hela huwa haitoki bure kuna ajenda nyuma yake tu.
 
Leo nimekutana na watu wengi Sana maeneo mbalimbali wengi wakiwa wakina mama,wanasema wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba,Nikamuuliza mmoja wao ulishuaona wapi serikali inagawa hela bure?,au mkopo bila riba?Kwa mtazamo wangu nikawaambia someni alama za nyakati,hiki ni kipindi Cha kampeni mtadanganywa sana, Kweli wajinga hawaitaisha,
Dah, kuna kitu cha kujifunza.Watu ni wengi haswa wakina mama.Wale wazee watafiti sampo hiyo tayari.
 
Back
Top Bottom