Eti wanawake wenye ndevu wana-akili sana!?

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na jinsi ya kuishi na wengine. Niataka kukubaliana nalo hili sababu nimekutananao ni wapole na wanyenyekevu mno.
Je, ni kweli?
 
Kuwa mpole ndo kuwa na akili ya maisha? Basi kama ndo hivyo kondoo angekuwa anamiliki ubungo plaza!!
 
kwa kuwa wahenga walisema 'akili ni nywele'

sasa kwa wanawake imegeuka kuwa 'akili ni ndevu?'
 
Toene hoja sio mnaponda ili nifanye maamuzi.

Hoja zinatolewa kutokana na content ya thread!! Ukipanda mpapai usitegemee utavuna nyanya. Wadau wana-analyze content siyo sura ya mtoa maada!!
 
kwani maamuzi yako yanategemea uwepo wa ndevu kwa hao/huyo mwanamke????????

Kazi ipo....

kuwepo kwa ndevu au kusiwepo hakuwezi kukabadilisha maamuzi yangu. Ila nataka kujua hili jambo litanisaidia sana.....!
 
kuwepo kwa ndevu au kusiwepo hakuwezi kukabadilisha maamuzi yangu. Ila nataka kujua hili jambo litanisaidia sana.....!

ok....
Hizo ndevu hazina dili... Hata kambale anazo....

Angalia tabia ya mtu.... Na kuchunguza tabia huchukua muda mrefu......
 
Umeona ndevu tu? Mbona vikwapani na kule kwenye k huwaga hawana nywele mbona husemi. Ila ukioa mtakua mnapata watoto wa kiume tupu. Wana homony za kiume hao.
 
atakuwa hajausikia ule wimbo wa kupata ni majaliwa, ng'ombe amenyimwa ndevu lakini mbuzi kapewa.

BT, umeacha kumkimbiza mwizi kimya kimya?
Staili yako ya uchaingiaji ilikuwa inanifurahisha, kimya kimya bila makelele

ok....
Hizo ndevu hazina dili... Hata kambale anazo....

Angalia tabia ya mtu.... Na kuchunguza tabia huchukua muda mrefu......
 
Back
Top Bottom