Kuna wale waume zao,waliugua kisukari na kuwa impotent....ila hapo kabla walikuwa poa na wana watoto.....mke mnashauri amwache mumewe?????...hii ni cheating with reasons scenario lol...........sijui hizo viagra ziko effective kiasi gani....i mean kama zinafanya kazi kwa kila mtu...........ila mimi napenda spices tofauti.......ukiangalia mwanamke reproductive cycle yake ni ndogo kushinda mwanaume.........itafika mahali du.du ya mumeo unaingalia tu....kwa nini nisi enjoy life wakati huu damu moto lol
Nani amekudanganya hujawahi ona mabibi wa 60 wanaolewa jiulize kwa nini?