Eti wanawake huwa hawacheat

Eti wanawake huwa hawacheat

I `d rather walk away and (may be) start all over again, to hell with the investments!,......but this?!!, haki the guilty will kill me, how do you look your hubby/wife on the face after cheating?!
 
Khe khe khe khe ukishakamilisha utafiti utupe hitimisho la utafiti wako. Muke na mume walikutana huko kwa kujirusha kwa short time kila nafasi iliporuhusu. Wakakuta wanafurahia sana kuwa pamoja wakaanza kwenda kwenye lunches/dinners/movies na hata clubs kwenda kujirusha. Mwisho wakagundua kwamba wanapendana sana pamoja na kuwa wamo kwenye ndoa na watoto pia ndani ya ndoa zao. Wakakaa chini waamue wafanye nini kuhusu penzi lao, ndipo walipoamua kuwatosa spouses wao ili waweze kuwa pamoja kwa raha zao. Utafiti mwema

Hahahaaa well, by nature mimi ni mtafiti [nimerithi toka kwa baba].

Hivyo, kama social scientist nipo huko kufanya utafiti juu ya sababu zinazofanya wanawake wachiti waume zao.

Trust me, nafanya utafiti tu. Nothing more nothing less:wink2:.

And get this, kuna siku nilikutana na mdada anayejiita 'TanzanianDevil'. Naye alikuwa anatafuta mchepuko.

I was on my best behavior. I just chatted with her and kept it moving.

Is that so....?

I appreciate your honesty.
 
But that sounds like a promise kwa atakayemkubali...ni kama anajua mteja wake atahitaji usiri...haijakaa ki condition...

Ni cheater huyo. Si umeona hapo aliposema "I know how to be discrete. Discretion is critical."

Hataki ijulikane. Na Ashley Madison ni mtandao wa watu wanaotafuta mchepuko kwa siri.

Ila, nimeshawahi ona profile za wanawake ambao wana ruhusa za waume zao (kutoka nje ya ndoa).

Hapo ndo ujue kweli watu tumetofautiana.
 
I recall dating someone's wife married for over a decade and with kids. She's cheated (elsewhere) to the point of conception!

Wanawake wengi tu wanachepuka. Asilimia kubwa hucheat kutafuta anachokosa ndoani. Wanaume huchepuka just for fun. Hata kama mke anafanya 'kila kitu'!
 
Huyu Virgo mwenzangu nae vipi...mimi nilidhani sie tuko honest na hatupendi kupindisha sheria...

Mwingine huyu anajiita Ms. Almost Perfect.

msalmostperfect

"you read it right! ms almost perfect! looking fo fwb no strings"
I'm Offline

  • Age: 31 (Virgo)
  • Location: Powder Springs, Georgia, United States
  • Height: 5'10" (178cm)
  • Weight: 135 lbs (61kg)
  • Languages Spoken: English
  • My Limits are: Something Short Term
  • Status: Attached Female seeking Males
  • Gender: Female
  • Ethnicity: African American (black)
  • Smoking Habits: Not specified

Preferences and encounters I am open to:

I'm seeking a generous kind hearted gentleman who likes to have fun and be adventurous. I like gentlemen who are knowledgeable, open-minded, generous and inspirational.
 
wanawake wengine wanachepuka sababu ya kisasi...

Ni rahisi sana kumpata mke wa mwanaume ambaye ni serial cheater na mkewe anajua...

I recall dating someone's wife married for over a decade and with kids. She's cheated (elsewhere) to the point of conception!

Wanawake wengi tu wanachepuka. Asilimia kubwa hucheat kutafuta anachokosa ndoani. Wanaume huchepuka just for fun. Hata kama mke anafanya 'kila kitu'!
 
NN unatafuta nini kny hizo sites na wewe???..........women dont cheat.....total fallacy..........nina mume,and i have cheated twice.......lol...........wala sikuwa na reason......na hata wanaume sio msra zote wanakuwaga na reasons...........akitokea mwanaume tena, i will cheat......wengine tunakuwa thrilled na mawazo ya kuchiti chiti tu lol,hii haimaanishi hatuwapendi partners wetu.........kwangu mimi kuwa na mtu mmoja mpaka kifo kiwatenganishe ni uongo kama vile watu wanavyokuja na kusema wanawake hawacheat.............

Hukua na reason?!, you just doing it for fun?!....hata fun ni reason.....lol!, but my question is, how do you feel afterwards? no remorse?
 
NN unatafuta nini kny hizo sites na wewe???..........women dont cheat.....total fallacy..........nina mume,and i have cheated twice.......lol...........wala sikuwa na reason......na hata wanaume sio msra zote wanakuwaga na reasons...........akitokea mwanaume tena, i will cheat......wengine tunakuwa thrilled na mawazo ya kuchiti chiti tu lol,hii haimaanishi hatuwapendi partners wetu.........kwangu mimi kuwa na mtu mmoja mpaka kifo kiwatenganishe ni uongo kama vile watu wanavyokuja na kusema wanawake hawacheat.............

Hahaha umefanya nitabasamu.Yes design yako wapo wengi tu,na wasiocheat wapo pia ingawa kundi hili ni wachache.(Nimeongea kutokana na ambayo nashuhudia ktk jamii inayonizunguka)
 
...but this?!!, haki the guilty will kill me, how do you look your hubby/wife on the face after cheating?!

Probably in a better perspective given the reason why you 'slipped'........
 
  • Thanks
Reactions: kui
How bout couples who have threesome?

Hey, if that's what they like and what they want and they have all agreed to it, who am I to have an issue with it?

To each his own Cuzzo. Don't you agree?
 
Back
Top Bottom