Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
hahaaLakini kwa hapo inaonekana kama anamringishia bana kuwa angalia nina chakula ya watoto kizuri sana wakati ni jinsia yake hiyo hiyo
hahaa
labda anamwambia angalia sisapotiwi na bra
nishike mkono twende wote
Hahahaha miss neddy hapo unatetea tuu aise ila sio njema bana
sitetei sio njema kabisa ila huyo mwenzie hana madhara bwana jinsia pinzani ni hatari sana
miss neddy anaweza kuwa na madhara aise iwapo ataamua kuyavamia na kuanza kuyafanya chakula chake