Eti wanaringishiana

................KOH............KOH................MH......MHHHHHHHHHHHH...............Nakuja jamani.....nimetumwa dukani..........
 
chakula ya mtoto macho yanaonaga neema za allah tu
miss neddy hicho chakula cha mtoto huwa hakionyeshwi ovyo ovyo bana kinaonyeshwa kwa jinsia nyingine sio kwa jinsia yake au jinsia zinazofanana bana
 
Last edited by a moderator:
miss neddy hicho chakula cha mtoto huwa hakionyeshwi ovyo ovyo bana kinaonyeshwa kwa jinsia nyingine sio kwa jinsia yake au jinsia zinazofanana bana

kweli kabisa labda hapo alikuwa anamsearch kuna kitu alificha
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa labda hapo alikuwa anamsearch kuna kitu alificha


Lakini kwa hapo inaonekana kama anamringishia bana kuwa angalia nina chakula ya watoto kizuri sana wakati ni jinsia yake hiyo hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…