Eti wanagawana faida na wateja......

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Wadau! Hivyi hii promotion ya TiGo ya kukwangua kuanzia vocha ya shs 5000/= ndy ushinde mnakubaliana nayo? maana sikatai ila kama kweli dhamira yao ilikuwa kurudisha faida kwa wananchi kupitia zawadi walizotangaza, walau wangeweka hata vocha ya kuanzia shs 2000/= ili wananchi walio wengi ambao hawawezi kuweka vocha ya shs 5000/= nakuendelea kirahisi kutokana na kipato.

kwa maoni yangu, naona wamewakatili watanzania wengi wa hali ya chini.
 
Ni biashara tu na kwa mtazamo wangu nikwamba voucher za kuanzia 5000 zilikuwa haziendi kwasababu ukiweka 1000 unaonge muda mrefu hivyo wengi huwa hawaoni umhimu wa kuchukua voucher za 5000 ukiangalia na uchumi ndiyo kabisa watu huwa hawagusi kila hisi...labda ndiyo Marketing deDefinitions */ p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal {mso-style-parent:""; margin:0in; margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:12.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-fareast-font-family:"Times New Roman";} @page Section1 {size:8.5in 11.0in; margin:1.0in 1.25in 1.0in 1.25in; mso-header-margin:.5in; mso-footer-margin:.5in; mso-paper-source:0;} div.Section1 {page:Section1;} --> p ikaja na mbinu hii...na kwa taarifa yako kushinda siyo kirahisi labda zile 100 100 utazipata sana kuna siku nimenunua voucher za 50,000 nikategemea kushinda, matokeo yake niliambulia 100 kwa kila voucher..
 
Ni biashara tu na kwa mtazamo wangu nikwamba voucher za kuanzia 5000 zilikuwa haziendi kwasababu ukiweka 1000 unaonge muda mrefu hivyo wengi huwa hawaoni umhimu wa kuchukua voucher za 5000 ukiangalia na uchumi ndiyo kabisa watu huwa hawagusi kila hisi...labda ndiyo Marketing deDefinitions ikaja na mbinu hii...na kwa taarifa yako kushinda siyo kirahisi labda zile 100 100 utazipata sana kuna siku nimenunua voucher za 50,000 nikategemea kushinda, matokeo yake niliambulia 100 kwa kila voucher..

dah! ni kweli mkuu! nimekuwa nikishinda 100, 100 tu.
 
Back
Top Bottom