Eti wabongo hawajui kudekeza

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,047
Reaction score
4,449
Juzi nikiwa kwenye mgahawa mmoja hivi....

pembeni yangu kulikuwa na wadada wawili wakijuviana mambo ya ofcn kwao. Mazungumzo yao ilikuwa kama ifuatavyo:-

AA. ''ujue( jina) hajaolewa mpaka sasa eti hajaona mtanzania anaeweza kumuoa''
BB. '' Hata mm nilisikia eti anasema hajauzoea tamaduni za hapa nchini ........si kasoma degree yake marekani yule''
AA. '' Eti anataka mtu kutoka nje ya nchi''


Naomba niulize wanajamii?

mnamtazamo gani juu ya huyo dada?
 
kwa hiyo kusoma marekani ndio kudekeza au, jameni msinifanye mwenzenu nijione nna uelewa mdogo
 
Hahaaa, nadhani brain kama hizo ndio zinmpa wakati mgumu. Anyways. The quality of your question/reasoning shll detemines the quality of the answer you are going to receive.

Pengine huyo mdada hajui anachotaka, au kama anajua sio sahihi na kama ni sahihi solution anayoitafuta sio sahihi katika uhalisia wake. na kama solution itakuwa sahihi kwa kiasi ni asilimia chache sana ya icho kiasi wanaofurahia.

Ni changamoto kwa kweli, Nilikuaga nimepania utotoni mwangu eti nikiwa mkubwa lazima nioe mzungu, lakini kwa kukaa nao na uelewa nilionao sasa, hata kwa nazi, hapana.


mwenyewe sioni uhusiano wa kichwa cha habari na mada
 
Msaada mzur arudi huko alikosemea hiyo degree yake! Atawapata ma classment wake!
 
eeboh tuwadekeze mmekuwa midoli ya "teddy bear"....
kama unaona hudekezwi badili uraia....
 
eeboh tuwadekeze mmekuwa midoli ya "teddy bear"....
kama unaona hudekezwi badili uraia....

hapo sasa ndo nimeelewa kumbe kudekeza huku, Natalia naomba uniunganishe kwa mdogo wa mudhungu, huku hawajui kudekeza aisee
 
hapo sasa ndo nimeelewa kumbe kudekeza huku, Natalia naomba uniunganishe kwa mdogo wa mudhungu, huku hawajui kudekeza aisee

nendeni tu huko tuwacheni tupumue.....wanawake wanaopenda kudeka deka huwa wanakuwa mzigo sana kwenye familia....
 
Dah!Sijui kuna mdudu gani kwenye kichwa cha hawa watu!
 
Mbona Paw wangu mbongo na anajua kudekeza. Manake nadeka hadi naona aibu!
 
nendeni tu huko tuwacheni tupumue.....wanawake wanaopenda kudeka deka huwa wanakuwa mzigo sana kwenye familia....

natania jamani, nawe hutaniwi, niende huko niumwe au niugue
 
Mbona Paw wangu mbongo na anajua kudekeza. Manake nadeka hadi naona aibu!

me mwenyewe napendaje kudeka , kuna raha yake asikwambie mtu, jamani mtudekeze tu, kwani sh ngapi hata hili liwashinde
 
Kazoea za kidhungu huyo...hamna ki2 hapo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…