..eti Vitz inaitwa Baby Walker

..eti Vitz inaitwa Baby Walker

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
3,043
Reaction score
2,250
juzi bado kidogo nivunje mbavu kwa kicheko nilipoambiwa eti Vitz aka yake inaitwa Baby Walker!,lol!haya,tupieni aka za magari mbalimbali wadau
 
ulikuwa hujui......?
spacio....a.k.a. avocado.......
beetle...a.k.a....mgongo wa m**.....
nissan patrol...a.k.a.....mashavu ya....
 
Noah aka Kitimoto, kutokana na pua yake pale mbele kufanana na kiumbe huyo mwenye mvuto ki-menyu.
 
ulikuwa hujui......?
spacio....a.k.a. avocado.......
beetle...a.k.a....mgongo wa m**.....
nissan patrol...a.k.a.....mashavu ya....

eeehh,hiyo blue ndio nayo ngeni kabisaaaa!!aitheeee
 
halafu naona wadau wengi wanapita tu hapa wamekunja sura,itakuwa wengi wanamiliki hiki kibaby woka
 
starlet - kichura
kuna gari laitwa mwendo wa kobe ila sijui jina la gari
 
ulikuwa hujui......?
spacio....a.k.a. avocado.......
beetle...a.k.a....mgongo wa m**.....
nissan patrol...a.k.a.....mashavu ya....

Preta, hamia basi jukwaa lile ili ufunguke vema!
 
Back
Top Bottom