Eti uyu mdada ni Mtanzania au?

Eti uyu mdada ni Mtanzania au?

Kuna urembo na uzuri
Huyo amejitahidi kwenye urembo,
kwenye uzuri kuna wale wadada hata akiamka asubuhi anatizamika no foundation s,no makeups, wala filter
na mtaani wapo wengi tu.
Kweli kabisa ulichosema
 
Kuna Uzi humu unasema Kuna maneno mengine mwanaume hupaswi kuyatumia. Mfano wa maneno hayo ni UYU badala ya HUYU labda kama wewe ni KE basi hapo huendani na huo uzi
 
Acha ushamba mjomba, Wadau washakwambia hiyo Pisi hakuna lolote Ni kale kakiuno tu ndo kamekudatisha, We unabiiisha Kama Mkulungwa Mfawidhi, au umetokea 254 nn unataka Kuleta competition kwenye hamna.. Mikato ya Tz huwezi fananisha na hizo Ngama za Ripabulik of kunya, mtu anafanana the late Moi umekazana mpaka kuwatusi Wajuba. Punguza Ushamba.

Nimeishiwa sanitizer hapa, Povu ruksa.
 
Hata kwa huyu age go asogei.
azz_iad-20200419-0001.jpeg
images-171.jpeg
 
Kuna urembo na uzuri
Huyo amejitahidi kwenye urembo,
kwenye uzuri kuna wale wadada hata akiamka asubuhi anatizamika no foundation s,no makeups, wala filter
na mtaani wapo wengi tu.
ungekuwepo wewe ni mmoja kati yao ungejiweka hapa tukuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba mjomba, Wadau washakwambia hiyo Pisi hakuna lolote Ni kale kakiuno tu ndo kamekudatisha, We unabiiisha Kama Mkulungwa Mfawidhi, au umetokea 254 nn unataka Kuleta competition kwenye hamna.. Mikato ya Tz huwezi fananisha na hizo Ngama za Ripabulik of kunya, mtu anafanana the late Moi umekazana mpaka kuwatusi Wajuba. Punguza Ushamba.

Nimeishiwa sanitizer hapa, Povu ruksa.
Kaka zako wa Taifa kuna hata mmoja aliyeoa mafurushi ya bongo? Nawazungumzia Diamond,. Harmonize, na Ali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kapime macho unadalili ya matatizo ya macho. Ni vizuri ugundue tatizo mapema ili utibiwe mapema.

Nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka si chini ya sekunde 20. Tumia sanitaiza, epuka mikusanyiko. Epuka kushika macho,pua na mdomo. Jikinge na Corona.
Punguwah waheed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli Beauty Lies In The Eyes Of Beholder
 
Back
Top Bottom