TELLO
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 233
- 412
Haka kadada si kale kanacheza wimbo wa kenya wa kupeana.Ila mkuu kuna mdada alikuwaga anaimba bongo fleva anaitwa Malaika ile pisi so mchezo wallahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app





