Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,111
- Thread starter
- #61
Hahaha make up zinaficha mengihahaaaa daaah nawaza akitoa Huyo wanna na Lipstick anakuwaje.
Nimemuelewa na wanaoponda hawana ata mademuMbona unamtetea mno huyo mdada![]()
Ooh kumbe yupo 254 huyo
Mkuu we endelea kua na demu sisi wenye wake hatuna huo uvulana wa kuweka picha zao hapa
Hee haya asubuhi njema
Ndio lakini mbona Bongo hapa unaweza pata wa kumzidi
weka basi picha yakeNdio lakini mbona Bongo hapa unaweza pata wa kumzidi
Huko ulipo hujaona wanawake wazuri kweli
Upo mkoa gani huo
Kuna urembo na uzuriHahaha make up zinaficha mengi