Eti ushindi lazima!

Bagenyi

Member
Jun 29, 2011
26
3
Habari wanajf wenzangu. Mie nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni ya CCM Igunga ila nimesikitishwa wanavosema eti ushindi lazima wachukue! Je, why wanajihaminisha?
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Hayo ni maneno. Unapoamua kushindana lazma uamini kuwa utashnda vingnevyo hakuna maana ya kushindana.
 

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na tume husika ipo inaona mambo kama haya yanatokea!unaposema au kutumia slogan ya ushindi lazima maana yake ni kwa kila hila mtashinda, kipolitiks,ikishindikana hata kwa kuforce lazima ushindi upatikane, SASA HAPA NAFASI YA DEMOKRASIA IKO WAPI?'SLOGAN ZINGINE HAZITAKIWI KUTUMIKA NA NADHANI HATA WATU WA NCHI ZINGINE WANATUSHANGAA, ni upuuzi wa magamba na wanaokubali kugeuzwa proffessional zao kutumikia magamba!
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
ukifuatilia sana mambo yao mkuu unaweza hata usipige kura kwani wako lazima wafunge mtu jela ili wa shinde..
 

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,882
1,124
ccm wako radhi kuwaacha watanzania wakichinjana ili mradi malengo yao yatimie,nimeangaklia walivyowaingiza mkenge viongozi wa dini yakiislamu na kuacha kufuatilia mambo ya msingi na kuingilia mambo ya kisiasa.
nasema viongozi wa kiislamu ama hawajakaa chini na kufikiria,ccm ni wajanja sana wanajihami sana na waislamu kwa kusikia wanataka kuandamana kudai kadhi wanaanza kuwapotezea lengo kkimtindo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom