Hauwezi kupata Safu ya Ushindi kwa Wabunge waliobebwa na Shujaa Magufuli, CCM ni lazima Ijisuke Upya!

Tumsifu Yesu Kristo

Niseme tu kama kweli CCM inataka Ushindi wa kishindo 2024 na 2025 basi ni lazima Ijisuke Upya

Hawa Wananchi wa Leo wamekwishaamka kabisa kabisa

Tusijisahaulishe kuwa Asilimia kubwa ya Wabunge kama siyo 100% ni wale wa Shujaa Magufuli

Jumaa kareem!
Pamoja na kwamba posho zenu zimetoka jana lakini umeandika point
 
Tumsifu Yesu Kristo

Niseme tu kama kweli CCM inataka Ushindi wa kishindo 2024 na 2025 basi ni lazima Ijisuke Upya

Hawa Wananchi wa Leo wamekwishaamka kabisa kabisa

Tusijisahaulishe kuwa Asilimia kubwa ya Wabunge kama siyo 100% ni wale wa Shujaa Magufuli

Jumaa kareem!
Mzee mgaya mzima ,ndugu yangu
Leo umeandika kitu flan kwa akili timamu sana.
Ila nakwambia uwezo wa ccm kujisuka upya ni ngum sana ,kwanza ccm imetengeneza machawa, badala ya vijana wenye uwezo wa kujenga hoja ,pili wasema ukweli ,na wakosoaji ndani ya ccm huchukuliwa kama wahain, itoshe kusema

Ili ccm kusukwa upya lazima kiondoke madarakani kwanza ,na chama kianze kusukwa upya kikija kurudi kitakua kimejitambua
 
Mzee mgaya mzima ,ndugu yangu
Leo umeandika kitu flan kwa akili timamu sana.
Ila nakwambia uwezo wa ccm kujisuka upya ni ngum sana ,kwanza ccm imetengeneza machawa, badala ya vijana wenye uwezo wa kujenga hoja ,pili masema ukweli ,na wakosoaji ndani ya ccm huchukuliwa kama wahain, itoshe kusema

Ili ccm kusukwa upya lazima kiondoke madarakani kwanza ,na chama kianze kusukwa upya kikija kurudi kitakua kimejitambua
Na Nina fikiri Mzee Kinana Kesha tambua hivyo , sasa sijui chawa kama wanaelewa
 
Acha bas kujitoa akil! Niww humu ulikua unasapot wapo kihalali tena ukaenda mbali zaid na kusema viongoz wa CDM wanajua ukwel na wanakula pesa kupitia COVID 19!! Wew pamoja na genge lako la walinda legacy!
Wapi niliposema hawajaenda kihalali?

Uchaguzi kutokuwa Huru haimaanishi haukuwa Halali!
 
Hakuna cha halali kisichokua huru au chenye haki!! NB: Kuhusu COVID 19 usibishe wee mzee ulikua unawasapoti sana!! Ila kuna kitu nimegundua muda sasa ulianza kujiengua kweny kundi la wazee wa legacy.
Kutokuwa Huru kula Kitimoto haimaanishi Nyama hiyo siyo halali, Ukiwa jangwani na hakuna Mnyama yoyote basi Nguruwe akitokezea ni halal 😂😂
 
Kutokuwa Huru kula Kitimoto haimaanishi Nyama hiyo siyo halali, Ukiwa jangwani na hakuna Mnyama yoyote basi Nguruwe akitokezea ni halal 😂😂
Ntarud badae!!!
 
Attachments

  • IMG_20230129_160134.jpg
    IMG_20230129_160134.jpg
    79.1 KB · Views: 1
Tumsifu Yesu Kristo

Niseme tu kama kweli CCM inataka Ushindi wa kishindo 2024 na 2025 basi ni lazima Ijisuke Upya

Hawa Wananchi wa Leo wamekwishaamka kabisa kabisa

Tusijisahaulishe kuwa Asilimia kubwa ya Wabunge kama siyo 100% ni wale wa Shujaa Magufuli

Jumaa kareem!
We jamaaa bhana! Some times unakuwa unajitambua kweli kweli. Hemu anzisha basi uzi wa vuguvugu la kuokoa bandari zetu Tanganyika.
 
Back
Top Bottom