Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
2015 kujiandikisha tu ilikuwa unakutana na bonge moja la foleni kudadeki. Unaamka zako saa 9 au 10 usiku unahisi umewahi ukifika kituoni wewe unakuwa kama mtu wa 500 hivi foleni lake yaani huko.
2020 kujiandikisha tu watu wanapita vituoni kama wanaaga maiti vile, watumishi wamejilalia kwenye meza zao wengine wanapiga stori zao muda hata hauwasikilizi.
Je, bado unapendwa?
2020 kujiandikisha tu watu wanapita vituoni kama wanaaga maiti vile, watumishi wamejilalia kwenye meza zao wengine wanapiga stori zao muda hata hauwasikilizi.
Je, bado unapendwa?