Eti umbeya una faida kiafya

Eti umbeya una faida kiafya

hahaaa na mie niliiona hii leo
eti wanaofaidika zaidi ni wale ni wale wanaopenda
kuongelea mambo mabaya zaidi ya watu wengine!!!!!!!!!!!!!
 
kwakweli, nilipo iona asubuhi, mpaka nikashangaa!:glasses-nerdy: umbea na afya?
 
Back
Top Bottom