Eti ukiwa mlokole...

Eti ukiwa mlokole...

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Eti ukiwa mlokole ni dhambi kuusikiliza wimbo mzuri kama huuu?
Kama ni dhambi basi acha mi nipate dhambi BECAUSE I AM HAPPPPPPPPPPPYYYYYYYYY

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji ulokole ni kitu cha kiroho zaidi kuliko kimwili ,ukiwa mlokole haina maana kuwa usisocialize ! Wengi tunafikiri kuwa ukishaokoka unakuwa si kiumbe cha kawaida tena (heavenly beings)
mlokole ana mwili bado uleule wa binadamu ambao unapitia yote kama maumivu furaha hasira nk nk
 
Eti ukiwa mlokole ni dhambi kuusikiliza wimbo mzuri kama huuu?
Kama ni dhambi basi acha mi nipate dhambi BECAUSE I AM HAPPPPPPPPPPPYYYYYYYYY

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA

Jamaa anaitwa nan....alieimba
 
Last edited by a moderator:
tatizo la watu wajinga ni kwamba hawajui kupambanua nyakati,

kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kuwa kila jambo na wakati wake, kuna wakati wa kulia pia wa kucheka!

acha kujifunza kutoka kwa walioshindwa... acha kukaa vibarazani na wajinga, mchana kutwa wanashindana na jua.
 
Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
 
Eti ukiwa mlokole ni dhambi kuusikiliza wimbo mzuri kama huuu?
Kama ni dhambi basi acha mi nipate dhambi BECAUSE I AM HAPPPPPPPPPPPYYYYYYYYY

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA

Mtu kujiita 'ETI,MLOKOLE' MAANA YAKE,HANA DHAMBI NA NIJUAVYO MIMI HAKUNA MTU ASIE NA DHAMBI HAPA DUNIANI KWAHIYO "WALOKOLE NI WANAFIKI TU"
 
Last edited by a moderator:
...asiyejua maana haambiwi maana,tafsiri yako ya ulokole a.k.a wokovu ndo imekupotosha,kaa ujifunze kwanza...

Wewe ndio hujui chochote! Wokovu ni neno lililopo kwenye Biblia maana yake ni "KUMKUBALI YESU NA SHERIA ZAKE' Ulokole ni neno la watu kujitungia wenyewe wakimaanisha kwamba wao hawana dhambi kumbe ni WANAFIKI WAKUBWA.HAKUNA BINADAMU ASIE NA DHAMBI KWA MUJIBU WA MUNGU WA KWELI.
 
....hahahaaaa bwanamdogo tulia,acha jazba kubali kujifunza kwa kina alafu anzisha hoja yenye mashiko,tukutane jukwaa la dini. Unatema povu jingi. Ukijua historia ya kanisa,ukristo na wokovu hutarudia kumwaga povu namna hii...
 
Back
Top Bottom