Eti ukiwa mlokole...

Eti ukiwa mlokole...

waolitunga hilo jina la ulokole sio wale waliookoka, ni wale ambao hawajaokoka ndo wanawaita waliokoka hivyo,ila waliokoka wao kwa wao hawaitani hivyo!
 
Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
Hapo umekufuru kjana.. Ulokole hatuamin hayo... Kwan Hakuna sauté Na dhamb chin ya jua tunaamin aliye mtakatfu Ni mungu tu Na hata aliye mwema. Ulokole si unafik Bali Ni kumcha mungu, kuamini mungu yupo, kashka mafundisho ya bwana wetu yesu kristo.. Na kuamini kuna uzma Wa milele.uskulize AMA usisikilze nyimbo kaz Ni kwako. Mm mwenyewe unaweza ukanikuta club Na bado nimeokoka Na hutanikuta ninatenda dhamb ndan ya club.
 
Bujibuji ulokole ni kitu cha kiroho zaidi kuliko kimwili ,ukiwa mlokole haina maana kuwa usisocialize ! Wengi tunafikiri kuwa ukishaokoka unakuwa si kiumbe cha kawaida tena (heavenly beings)
mlokole ana mwili bado uleule wa binadamu ambao unapitia yote kama maumivu furaha hasira nk nk
kuna binti wa kilokole alikua anatembea na wanakwaya wenzake anajitetea kuwa ni suala la kimwili ila ameokoka kiroho.
 
mnaikumbuka ile nyimbo ya Binti Mlokole by Father G
 
Ulokole ni unafiki kwa maana HAKUNA BINADAMU ANAEKOSA KUWA NA DHAMBI KATIKA DUNIA HII.
Hadithi yako hii inatiufundisha nini..kama hakuna asiyemkosefu ndo ticket ya kutenda na kuruhusu makosa,la kwa muziki huu sijaona kosa
 
aah wimbo mtam huo...
cause am happy clap along if u feel like happiness is the truth...
 
Wao, unaingia na bible club! Hivi waeza enda kanisani usisali? Hii nayo ni mpya.

Hapo umekufuru kjana.. Ulokole hatuamin hayo... Kwan Hakuna sauté Na dhamb chin ya jua tunaamin aliye mtakatfu Ni mungu tu Na hata aliye mwema. Ulokole si unafik Bali Ni kumcha mungu, kuamini mungu yupo, kashka mafundisho ya bwana wetu yesu kristo.. Na kuamini kuna uzma Wa milele.uskulize AMA usisikilze nyimbo kaz Ni kwako. Mm mwenyewe unaweza ukanikuta club Na bado nimeokoka Na hutanikuta ninatenda dhamb ndan ya club.
 
Mtu kujiita 'ETI,MLOKOLE' MAANA YAKE,HANA DHAMBI NA NIJUAVYO MIMI HAKUNA MTU ASIE NA DHAMBI HAPA DUNIANI KWAHIYO "WALOKOLE NI WANAFIKI TU"

U a wrong
Hyo si maana ya ulokole.
Biblia inaesema' wote tumetenda dhambi hivyo tumepungukiwa na utukufu '
Lkn tumepewa neema ya kutubu.

So ulokole ni kumkiri Yesu kuwa bwana na mokozi wako.
Hivyo walokole nao wanadhambi ndo maana Mungu aliweka kutubu na kumrudia yy tunapokosea
 
Mtu kujiita 'ETI,MLOKOLE' MAANA YAKE,HANA DHAMBI NA NIJUAVYO MIMI HAKUNA MTU ASIE NA DHAMBI HAPA DUNIANI KWAHIYO "WALOKOLE NI WANAFIKI TU"

U a wrong
Biblia inasema ' wote tumetenda dhambi hivyo tumepungukiwa na utukufu '.

So ulokole sio kutokua na dhambi,
Ulokole ni kumkiri na kumpokea Yesu kuwa bwana na mokozi wa maisha ya mtu binafsi.
Hivyo unatakiwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ila Mungu huyu huyu ametupa neema ya kumrudia kwa kutubu kwasbb anajua binadamu tuna anguka dhambini
 
Perfect Answer
 
Back
Top Bottom