Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Mbezi ipi unayoizungumzia hapa?
Kuna mbezi digital na Mbezi analogy
Kwi kwi kwi kwii kwi! Watoto wakishua utawajua tu!
teh teh teh miye najenga kibanda changu Mbezi analogyKuna mbezi digital na Mbezi analogy
huku kwa akina mbesi (analogy) ndiko ninakotaka kuhamia mkuu unaweza kunipa sifa zake?kuna mbezi(kwa kina mdee) na mbesi (moro road). Sasa jamaa sijui atahamia wapi maana kila eneo lina aina tofauti ya wezi. Mbezi watu wanakuja na gari na bastola kupakia vitu vyao na mbesi vibaka wanakuja na mapanga kukuibia.
nimeamia mbezi mwaka wa tatu sasa na wala sijavamiwa na wengi waliovamiwa baadaye inagundulika kuwa walidhulumiana na wengine walitembea na wake za watu.