Eti uhandsome mbwembwe tu, kitu pesa...

Eti uhandsome mbwembwe tu, kitu pesa...

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
1016667_367170090073198_659510700_n.jpg
 
Wengine wanasema wakiona walet imetuna tayari wanapata na orgasm kabisa.
 
Mkwanja ndio kila kitu.
Kama ingekuwa mapenzi ni uhendisamu basi mheshmiwa waziri hadi leo angekuwa bachela..
 
Ujambazi sio ule wa kuiba na kuuwa na silaha ...........lakini wanawake ndio wajambazi wa kweli

Kuna jamaa alisema kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe sasa dada wa watu kapenda kifua wewe wamwita jambazi tena una-generalize ????!!!!!!!!!. Vipi wewe acah hizo yeye kapenda wewe mapovu ya nini???!!
 
na kweli majanga.....
 
Back
Top Bottom