Eti Uchumi wa Bluu!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,560
32,197
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele.

Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa.

Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.

OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, UCHUMI WA GESI, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
 
Naona safari hii ndugu zetu wamekuja na uchumi wa bluu (Blue economy) . Ila sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii imekufa Kama viwanda vipya 52,000
Uzi umekua mfupi sans mkuu. Kiasi kwamba inakua ngumu kujadilika. Unaweza kuongezea nyama tafadhali ? Naamini lengo lilikua zuri sana
 
Huo uchumi ndio ukoje , hebu tufafanulie vizuri , ili na mm nije na wangu wa rangi ya pinki

Bluu imetumika kama rangi ambayo maji yanaonekana nayo (sijasema ni rangi ya maji, maji hayana rangi).

Ndio maana tukichora ramani, maziwa, bahari na mito tunailebo kwa rangi ya bluu kuonyesha kwamba yamejazwa na maji.

Uchumi wa bluu;
Ni mkusanyiko wa shughuli mbalimbali za kiuchumi zinazohusisha maji kwa maana ya bahari, maziwa na mito mikubwa.

Uhusika wa maji unaozungumziwa hapa ni mazingira yake pamoja na rasilimali zake.

Mifano ya shughuli zinazounda uchumi wa bluu ni:-
1. Usafirishaji na biashara (maritime transport and trade) yaani mambo ya bandari kama ujuavyo.

2. Uvuvi (Hii inajumuisha "uvuvi" mkubwa na mdogo, unenepeshaji wa viumbemaji pamoja na "ufugaji" wa viumbemaji yaani aquaculture)

3. Utalii katika maeneo ya fukwe, visiwa na maeneo mengine ya maji.

Kwa ufupi, huo ndio uchumi wa bluu.
 
Kwa kifupi amekuelewa!
 
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa bluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.

OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa bluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
Uchumi Mujarab!
 
Bluu imetumika kama rangi ambayo maji yanaonekana nayo (sijasema ni rangi ya maji, maji hayana rangi).

Ndio maana tukichora ramani, maziwa, bahari na mito tunailebo kwa rangi ya bluu kuonyesha kwamba yamejazwa na maji.

Uchumi wa bluu;
Ni mkusanyiko wa shughuli mbalimbali za kiuchumi zinazohusisha maji kwa maana ya bahari, maziwa na mito mikubwa.

Uhusika wa maji unaozungumziwa hapa ni mazingira yake pamoja na rasilimali zake.

Mifano ya shughuli zinazounda uchumi wa bluu ni:-
1. Usafirishaji na biashara (maritime transport and trade) yaani mambo ya bandari kama ujuavyo.

2. Uvuvi (Hii inajumuisha "uvuvi" mkubwa na mdogo, unenepeshaji wa viumbemaji pamoja na "ufugaji" wa viumbemaji yaani aquaculture)

3. Utalii katika maeneo ya fukwe, visiwa na maeneo mengine ya maji.

Kwa ufupi, huo ndio uchumi wa bluu.
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Shida ya viongozi wetu ni kukurupuka ku-plan vitu pasipo kuweka strategies thabiti ya kusukuma agenda mwisho huishia kutamkwa kwenye majukwaa kitu pekee wanacho weza ni kuiba kura na kufanya teuzi
 
Kuna diplomasia ya uchumi pia, hii nayo ni kitu gani?!
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.

OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
 
Naona safari hii wanasiasa wamekuja na terminology mpya uchumi wa buluu (Blue economy). Japo linaonekana kwa upana Ni Jambo zuri na likipangwa vyema linaweza kupeleka nchi Mbele. Ila linasemwa tu na wanasiasa jukwaani bila kuonyesha mipango thabiti, na nn kifanyike, sioni jitihada za dhati kuendeleza uchumi tajwa. Dhana hii inaweza kufa kibudu Kama viwanda vipya 52,000. Wanasiasa tuoneeni huruma kwa new terminologies kila awamu.

OLD TERMINOLOGIES>>>>Kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza, BIG RESULTS NOW, UCHUMI WA GESI, Tanzania ya Viwanda etc. Sasa Tena uchumi wa buluu huku bado tunaagiza mpaka tooth pick Uchina.
Hamna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom