Mchochezi tu! Uchochee maendeleo, uchochee moto... ni mchochezi tu!Labda sijui kiswahili vizuri Kwani kuchochea ni kosa?
Upinzani Kigoma wadaiwa kuchochea maendeleo
Nikichochea maendeleo nitakamatwa ?🙄
Jamaa haeleweki kabisa.
Hapa Kazi Tu imegeuka na kuwa Hapa Magufuli Tu.
Wengine wote kaeni kimya. Ole wenu mfungue midomo.
I saw this coming
kwenye kampeni alim praise Gaddafi..
you can imagine
akakataa kufanyiwa interview na BBC
akakimbia kabisa debates.....
hanishangazi kabisa
Alipoanza kazi si mlisema anafuata ILANI ya chama chenu huyu?Polisi wanasema uvunjifu wa amani. Mimi mwenyewe najiuliza sipati majawabu.
Hata bila jf sauti zitafika tuHizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Kama huzielewi habari za uchochezi kwa nini usiende mahakamani kuuliza ili ueleweshwe?Hizi habari za uchochezi mimi sizielewi kabisa.
Hao watu wanaotuhumiwa sijui kuchochea, wamechochea kitu gani?
Kumpindua Magufuli?
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kutumia muda wake mwingi kupambana na watu wenye maoni na hisia ambazo zipo kinyume na atakavyo au apendavyo yeye.
Katika viongozi ambao Tanzania imewahi kuwa nao tokea tuanze kutawaliwa na CCM huyu jamaa atakuwa anaongoza kwa kutokuwa na busara wala hekima.
Hovyo kabisa!
Sitashangaa JF nayo ikifungiwa kwa kupromoti uchochezi wa akina Ngabu😉.
Chama chetu kipi? Sina mahaba ya kipumbavu kwenye chama chochote cha siasa.nasapoti nachokiona ni sahihi .nilimpigia kura Magufuli na kwa upande wa utekelezaji wa Sera zake nakubaliana nao kama kuzuia rushwa, kupunguza matumizi ya serikali n.k . Lakini hili la kuwakamata wanaomkosoa, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa sikubaliani nae.Alipoanza kazi si mlisema anafuata ILANI ya chama chenu huyu?
Sorry mkuu but it wasn't ur reply nilikosea tu ilikua ya mkuu Nyani NgabuChama chetu kipi? Sina mahaba ya kipumbavu kwenye chama chochote cha siasa.nasapoti nachokiona ni sahihi .nilimpigia kura Magufuli na kwa upande wa utekelezaji wa Sera zake nakubaliana nao kama kuzuia rushwa, kupunguza matumizi ya serikali n.k . Lakini hili la kuwakamata wanaomkosoa, kuzuia mikutano ya vyama vya siasa sikubaliani nae.
Kama huzielewi habari za uchochezi kwa nini usiende mahakamani kuuliza ili ueleweshwe?
Hekima na busara hazipimwi kwa kutumia hisia yako.
Rais hana hekima wala busara kwa mujibu wa nani?
Haya aisee, endelea kubeba vyuma.