Mkuu tatizo nini hapo, ndo maisha niliokulia hayo.umezaliwa na kukulia upanga east nini!??
Kama ndo maisha yenyewe ya kijijini ndo haya mie sirudi kijijini.
japo sio upanga east lakini maisha kama haya sio kabisa kwani yanatugawa makundi,embu fikiria huyu mtoto mpaka umri huu hajaanza kusoma na hatarajii,huku nimeshuhudia ndoa za watoto wengi wenye umri chini ya 15 achana na 18 watoto wengi wamedumaa kwa kuzalishwa wakiwa wadogo.mkuu hilo linaweza kuwa tatizo la wazazi lakini pia serikali inahusika kwa kutowasaidia wanakijiji kwa kuwapa elimu pamoja na kuwapendezeshea vijiji ili wa mjini watamani kuishi huko.
Kama ndo maisha yenyewe ya kijijini ndo haya mie sirudi kijijini.
mi nitarudi tu... nasubiri kachawi fulani kafe kwanza!
Slave umeshawahi kujiuliza tatizo liko wapi..
mi nitarudi tu... nasubiri kachawi fulani kafe kwanza!