Eti tujiaandae kwa mapenzi a day b4!!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti tujiaandae kwa mapenzi a day b4!!!??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamgluu, May 11, 2010.

 1. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  :confused2:
  Jamani hii sijatunga. Na ninaandika humu kwasababu wife hana mazoea na JF kwahio I don't think ataiona hivi karibuni.
  Jana usiku baada ya mambo yetu, wife akaniambia kuwa the last 3 times we done it hakufurahia (we have been doing it like rabits for the last 2 years!!) nikamwambia labda sababu ya ujauzito, akasema labda.
  Then baada ya mda kidogo akaniuliza kwanini hatujawahi kujiandaa kama siku nzima hivi kabla ya kufanya mapenzi. :shock:
  Sasa I have been doing the usual dinner preparations, shopping na hata after argument sex. Lakini hili la KUJIANDAA KABISA LIKE 24 hours kabla na mda wote ni unajiandaa kwa ajili ya tendo baadae ni mtihani REALLY!!

  PLEASE PLEASE HINTS WAKUBWA!! How do I prepare a day in advance, push up? hip swaying? I have nooo fucken clue!!! YANI NAFANYA FOREPLAY 24 HOURS!!! EH!!:confused2:
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,458
  Likes Received: 2,044
  Trophy Points: 280
  duh hapo anakutega lol
   
 3. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  She has to be more open on how she feels nowadays since then.
   
 4. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unampa maneno ya mapenzi.. zawadi nk. Lakini sio 24 hrs.. At least 12 hrs.
   
 5. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  May be nimemuelewa kidogo...nadhani anataka kupewa mahaba kabla ya zoezi ambayo ni:-
  -Mtumie sms za kumuomba kisoda.
  -Unapokuwa home after job, mtekenyetenye kidogo.
  -Mpe busu la shavuni au popote utakapojiskia kwenye mwili wake.
  -Oga naye urudipo home, na mnapokuwa bafuni, mshikeshike mwile wake.
  -Mnong´onezee sikioni unahamu naye.
  -kama anapenda kutizama mikanda ya X, angalieni pamoja kabla ya zoezi lenyewe.

  Jaribu hayo, usipofanikiwa, you are welcome back. All the best my broda.:target:
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Miwani yangu ina matatizo au naona ndivyo sivyo?
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheheheheee.....itabidi ai rephrase tena hiyo sentesi
   
 8. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa ombi lako my dearly shem.

  I meant that, anakaribishwa tena kutoa malalamiko kama hizo njia nilizomwambia hazikumsaidia. Hope mumenipata sasa. AMA!:tonguez:
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.UMEPATA MKE BORA KWA VILE ANAKWAMBIA ANACHOTAKA.
  2.MPE ROMANCE YA MUDA MREFU,UKICHOKA WEKA CD ZA X NI ROMANCE PIA.....HADI HAPO VIPI 24 HRS SI NI RAHISI KUZIMALIZA?
  3.ANA KA WIVU HUYU ANA TAKA ANGALAU ATUMIE MTAMBO UNUSED ANGALAU KWA MASAA 24 YALIYOPITA.
  4. NA........anyway inatosha.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha jamani yaani nimecheka pole ngoja nifikirie kwa nn
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  May 11, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Hahahahhh.........kazi ipo!
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Khaaaaa!!!!! sasa kama unatumika 4 times a week itakuwaje? utakuwa unajiandaa kutumika kila siku ya maisha yako mkuu!!

  Lakini shukuru mungu kakwambia......hawa wakikutana na vidume vinatuma msg thelathini kwa siku, vinapiga simu mara nane aua 12 hivi kwa siku, huwa wanaanza kujisikia kama ww hujui kitu!! wakipata mtu wa kuwasikiliza hata kama ni ujinga huo ndo utakuwa mwisho wa ndoa.
   
 13. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Duu wengine mnatuchanganya sasa-tuoe tusifanye kazi ili hivi vidume visitumalizie ndoa au tuoe tufanye kazi ndoa iwe kwishnei! Yaaani,yaani,nikikikuta na kiishaniambia hayo!
  Nyamgluu ANZA UCHUNGUZI WA KINA,bora iwe hakipo kuliko kuja kukuta mwana si wako!:angry:
   
 14. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jitahidi kukaa naye na kumuuliza nini anataka hasa
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,082
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahah aisee umenichekesha sana hapo kwenye Red...LOL! Muulize vizuri ili akufafanulie alikuwa ana maana gani? Kama inabidi ukanyanyue vyuma kabla ya shughuli au ukimbie marathon hahahahahaha lol! Ndani ya ndoa kuna mambo kweli! Pole mkuu na kila la heri labda hapa unaweza kupata jibu la kukusaidia kujiandaa kwa 24 hours before the game.
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sikuwa nimeinyaka mapema; Du kweli ni vituko; lkn take time toka naye out na huko kakae nae umsihi kwa upole akaulezee kila kitu kwa ufasha! Imenitisha it means she has been acting for the last 2 yrs?

  Lakini una afdhali kwanza kwa kuwa ametamka bayana; pili inaonyesha katoa room ya rectification kufanyika; maana kuna mwenzi kaambia after 10yrs hapa na hakuna mwanya wa marekebisho
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  MKuu mawasiliano ni kitu muhimu sna kwenye ndoa usione kwamba mnaishi wote, ukadhani aaagh kila siku tunafanya ana enjoy, kwa hiyo hakuna kupena mashamsham. Ukiwa job Mtumie sms za mapenzi, mie huwa natuma mashairi matamu matamu ya kingereza nayapata hapa nime subscribe (www.LovingYou.com) mwandikie sms ukisifia game la jana au juzi kwamba lilikuwa tamu ajabu. Mimi nakumbuka wife alipokuwa na mja mzito, alikuwa hataki kabisa kamchezo, nambembeleza sana hata 2 days baadaye anaweza akakuamsha hata usiku saa nane ukicheki mashine ipo tayari anakuambia nimekufikiria sana mme wangu nimeamua kukupa, siwezi kukunyima. ila akishakupa leo andika umeumia hata wiki itapita akikuona tu una dalili utasikia nasikia kichomi mara aaaaagh toa kengele zako hapa mie sijisikii. hii inatokea sana wakiwa wajawazito. Kilichotokea wakati anajifungua daktari alimlaumu kwa kuninyima nisipanue njia so mtoto akavutwa na VACUUM (nashukuru hakuathirika chochote, si Nzuri ile) so mkuu kuwa na subira na jitahidi kumbembeleza kwa mahaba yooote. kumbushaneni hata zile zama za uchumba wenu nani alikuwa mnyonge kwa mwenzie, nani alichunwa sana au nani alimtumia sana mwenzieeee hahahahahahahaha
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  May 12, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Maandalizi siku nzima hamfanyi mambo mengine?kwanza hili haliwezekanai kabisaaaaa,duu how?
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,082
  Trophy Points: 280
  GS hapa mama anatoa ombi kiutu uzima kwamba kunanihii kama Sungura hakumridhishi, anataka mapigo ya muda mrefu. Sasa unajiandaa siku nzima kwa kufanya nini? Kubeba vyuma, kufanya mazoezi ya viuongo na nanihii pia unaifanyisha mazoezi hahahahahaha ndoa hizi zina mambo jamani, maana kila nikilifikiria hili haliniingii akilini hata kidogo.
   
 20. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Aisee hamuwezi amini mmenisaidia kiasi gani!! Nimetoa thanks za dhati hapo juu.
  Nimegundua kua kitu kimoja kikubwa ni sms during the day!! Yeye amekua akipenda sana kunitumia sms ila mimi zaidi ya kujibu thanx na me too hamna kingine. ILA KUMBE ITS A BIG DEAL.
  Kwasbabu nimeona watu kibao hapa wamesuggest SMS among other things!! CHIMUNGURU thanx a million for the site, I never thought being the player I was that I will ever come need help material in the art of love BUT as they say NEVER SAY NEVER!!

  Halafu kuna kajamaa flani kanauza boutique kanamchekesha chekesha kila mara. Inantia utata kidogo ila staki kuonyesha kwasbabu wife akisense insecurity noma!!
   
Loading...