Eti sisi toleo la pili tumesahaulika?

Eti sisi toleo la pili tumesahaulika?

Nemes johnson

Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
35
Reaction score
11
[emoji18] [emoji18] [emoji19] huu ndo mwanzo wa kuwa bashite maana 3 tunazo ila tunakua sawa na walo pata OOO
Yan fanyeni muwakumbushe tamisemi kuwa mtaani maisha c mazur jama
[emoji120] [emoji120] tunaomba tupate shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subila yavuta heri....haraka haraka haina Baraka....!!!

.
 
Mngepata one na two sasa hivi mngekua shule
 
Back
Top Bottom