Eti Siloam Church members wanadai hawafi

Eti Siloam Church members wanadai hawafi

"Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani"
01Timotheo 04:01
 
Niliwahi kuwasikia hawa jamaa maubiri yao kwenye TV siku moja hawatamtambui Mungu mwana. Hawa jamaa ni wa ajabu sana
 
Hapana si kweli wanakufa. Kuna kufa kimwili na kufa kiroho. Sasa wao walisema hawafi kimwili au kiroho?

Kaburi LA Elinduminamfoo Mnisi a.k.a Eliya, Adamu wa Pili Mungu wa Majeshi, liko pale Mapinga Bagamoyo.
Nilifikiri jina la mwisho ni Munuo na alikuwa ni mmachame
 
Back
Top Bottom