Eti samaki samaki za Dar ni kampuni moja na ya ile ya Morogoro

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,717
Reaction score
57,245
Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
 
Ile ya Morogoro sio waliiga tu jina...huon imekaa local kabsa
 
Hata mbeya kunayo samaki samaki mkuu ila iko local tu, kwahiyo hizi nyingine nafikiri wameiga majina tu, kama angetaka kufungua na mikoani sidhani kama angeanzia au angeishia morogoro tu
 
Back
Top Bottom