Eti platnum Mironjo! Diamond Bana

Eti platnum Mironjo! Diamond Bana

Acha afanye starehe zote, ndo muda wake huu. Namkumbuka mr. nice enzi zile na TAKEU style yake. Mnakumbuka???????

Hahaha ni kweli ndugu yangu Mr Nice mpaka kule kwetu Katavi alivuma lakini bwana kila kitabu na zama zake na kila masika na mvua zake
 
Back
Top Bottom