Mambo yetu ya ndani unayaleta huku...ntakunyima hadi naniu yenyew sasa..WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.
Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?
Nnaombeni ushauri wadau

Ndos shida ya kuuziwa mbuzi baada ya kuskia mlio. wenzio wanatest kwanza na kutikisa wavu ndo wanaoa.WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.
Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?
Nnaombeni ushauri wadau
Mkuu c ungepipiga kwanza wafike 20 ungepta angalau uzoefu but jaribu kukaa na kuongea naye kwani may b anatatizo na chuchu zakeWAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.
Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?
Nnaombeni ushauri wadau
We hujui raha ya kifua au unavnga?Kwani lazima ushike hapo kifuani?
Wewe unaonaje??? Umuache?
EBANA DAAAAAAH... MZEE UMEBAHATIKA KUOA BIKRA????
NIOMBEE DUA NAMIE..
MAANA KILA DEMU NAEPATA NAKUTA USED TUU...
THIS IS BULL SHIIT
#Chief Eng
Ebu tupia picha kwanza, isiwe ana kifua kama logo ya adidas alafu bado unataka ukishike.Huo utakuwa ni uonevu maana hamna haja ya kushika kisichokuwepo.WAJAMENI JAMAA ANAOMBA USHAURI