Outlawed
Senior Member
- May 4, 2017
- 157
- 179
tatizo ni ulimuoa akiwa bikra! mabikra wengi ni wasumbufu na si wabunifu! kwa uzoefu wangu usimuache mkeo ..jaribu kumfundisha na kumuambia uanayotaka kufanyiwa!..the good thing about women wa namna hiyo ni adaptability yao kujifunza mambo mageni kama ukiwafunza maana kwako kote ni ugeni..so jitahidi tu atakuelewa