Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau
Bado siku chache kufikisha mwaka. Vp ulimwacha?
Ujinga tu, ndoa haina hata wiki tano washaanza makelele
 
Pole sana. Hapo kuna mambo mengi yanayoweza kupelekea hilo tatizo moja ni mazoea, pili ni aibu, tatu yy anahisi ukimshika hiyo anadhani km unamtekenya, nne labda ni sehemu yenye sensitive sana na mwisho anaweza kuwa na mapepo toka zamani mapepo yamemcontroll nadhani hata tendo analichukia.
 
Asante Sana Kwa Ushauri Mzuri Na Nimekuelewa
 
ddy Love, post: 21597865, member: 72054"]Mimi Siyo Mkurya Mkuu[/QUOTE]
Umesajili mchezaji wa mchangani
 
Back
Top Bottom