Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,499
- 1,687
Umeweza kumlea mwanao kwa kiasi gani?
Mna mahusiano yaliyo katika hali gani?
Wewe ni mtumishi wa ustawi wa jamii?
Umeweza kumlea mwanao kwa kiasi gani?
Mna mahusiano yaliyo katika hali gani?
usilipize ubaya kwa ubaya vitu mwachie kwani mwanao nae atahusika kuvitumia endelea kujipanga mambo yako yakikaa sawa atakutafuta tu
Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya nikiwa nae, kapata pesa akanambia kapanga nyumba kwaiyo nipeleke vitu tuka ishi wote tena.
Chakushangaza ile namaliza kuingiza vitu ndani tunatoka kwenda kula ananambia pale ni kwake na vile vitu nisahau vitakuwa vya mtoto ila nikitaka kumuona mtoto niende muda wowote ila siyo kwetu tena ni kwake na mtoto wadau nimfanyaje huyu kabla sijafanya unyama.
Naomba mawazo yenu kwanza.