Hahaaa..mkuu zandar kwanza pole sana.
Ungeangalia kwanza ukaribu wenu, maelewano na mapenzi kati yenu. Swala la kupeleka vitu halafu unahamia bila mipango yoyote kama Ndoa nadhani ni kutafuta mteremko wa maisha.
Halafu wewe ni mwanaume, sioni kama ni busara kwa maamuzi ulochukua ya kuhamia kwa mwanamke bila malengo madhubuti. Inaonekana wewe uliwahi kumsumbua sana na hapo anafanya malipizi tu, kwa binaadam yoyote hawezi kukurupuka na kukufanyia hivo.
Hapo kuna mawili labda ulimtelekeza na mtotot wake, sasa unaona maisha yake yamenyooka ndio unajirejesha. Cha kufanya kua mpole tu, uamuzi wowote wa kukurupuka utakutia matatizoni.
Kama asingekuwa na mtoto wako hakika hata mi ningekusaidia kuvifuata vitu vyote tena hata ikibidi kwa ugomvi
Hahahahaaaaa,umenifurahisha sn we jamaa.
Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya nikiwa nae, kapata pesa akanambia kapanga nyumba kwaiyo nipeleke vitu tuka ishi wote tena.
Chakushangaza ile namaliza kuingiza vitu ndani tunatoka kwenda kula ananambia pale ni kwake na vile vitu nisahau vitakuwa vya mtoto ila nikitaka kumuona mtoto niende muda wowote ila siyo kwetu tena ni kwake na mtoto wadau nimfanyaje huyu kabla sijafanya unyama.
Naomba mawazo yenu kwanza.
haki ya mungu nauwa mtu kama ni mimi bora nikaishi grerzani tu
mi mwanaume akifanyiziwa huwa nafurah sana cjui kwanini!....