Eti ni kweli?

Eti ni kweli?

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
571
Katika kijiwe kimoja kinondoni marafiki walikuwa wanaongelea kuhusu utaratibu wa wanaume na wanawake kutakana kimapenzi, kuna waliosema kuwa wanafuata tu signal za wasichana na wasichana walibisha kuwa hawaonyeshi signa zozote wanafuatwa tu.
Wasichana walitaka kujua signal zinazozungumziwa
zilitajwa kama
mavazi ya kichokozi,, mapozi, vicheko, kujitolea kusaidia nk
eti ni kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom