kityentyee
Member
- Mar 9, 2021
- 72
- 338
Amani itawale kwenu nyote Wadau
Nimeiokota pahala hii issue then nimeona niilete kwenu wadada kama topic. Hivi ni kweli nyie wadada huwa hamfuti namba ya simu haraka na kusahau. Regardless wewe mwanamke ndo umekua sababu ya kuachana or mwanaume ndo sababu yenu wawili kuachana but napenda mtujuze ni kweli huwa hamfuti or huwa mnachukua muda mrefu kufuta namba ya simu ya mwanaume after break up??
Lakini pia kama ni kweli huwa hamfuti namba je huwa mna sababu zipi zinazowafanya muendelee kutunza namba or connection yoyote ya mawasiliano na hao ma EX wenu after break up??
Itapendeza zaidi endapo kama wadada ndo mtatupatia majibu kwenye huu uzi BUT hata wanaume pia kama mnaweza kuchangia or kujazia chochote pia ruksa