Eti ni kweli wadada huwa hamfuti namba ya simu after break up?

Ila kweli bhana nisijifanye mjanja sana hapa,kuna jamaa nilimgomeaga mbunye bas akanipiga mate tu akasepa...we bhana we...sijui ulimi alipakaga nini alikuwa mtamu balaa afu pia alikuwa mjuzi namna ya kunyonya lips zangu na kuzungusha ulimi pia.Nahis alitaka nikomoa tu maana sikumpataga tena
ila jf bana et akanipiga mate tu akasepa
 
mimi nilimkuta na picha za ex wake kabisa za miaka 4 iliyopita, kama picha tu anazo je namba!?

huwa awafuti namba hawa
 
Hivi karibuni nimeshtuka whatsap naona ujumbe wa dem wa kama mwaka na nusu umepita tumeachana. Japo alinisalimia kawaida lakini alionyesha wazi nia ya kutaka nikamkule kitu yake.
Sijamjibu jeuri ila sijakula mzigo kwani kazi zimenitinga, nakosa muda wa ziada.
 
Kwa mfano huu ipo siku mwanae atamuhitaji, mtoto akiuliza hata namba ya baba yake, namjibu niliifuta😲 nadhani kumuonyesha hivyo mtoto sio busara,, hivyo sitaifuta labda itokee mtoto afariki
Hongera kwa kuwa na akilI timamu na kujali afya ya mtoto.
 
Mwaka 2007 nilikua na ka bby kangu kakaja geto from kibaha mpka goms tumepiga story nikaomba mzigo kakasema nikaguse popote ila Pichu hakavui aiseee kalikazaa mwanzo mwisho nikaona isiwe shida mapenzi sio vita Wala ugomvi kalipo Rudi kwao nikafuta namba sikukatafuta Tena juzi naona sms yake inasema mambo mi flani nikavuta uzi mara penzi likachepua Tena nikamwambia aje chalinze akaja nikajilia mzigo bila hata kutoa jasho duuh Hawa viumbe mungu anawaona hahaha
 
Me nafutaaaa..... ila nakariri namba ya mwisho kama ni 75 au 35. Mambo ya kukaa na namba isiyo na faida kwangu sitaki. Na hata ukipiga nafuta hadi received calls. Na sikutafutiiiii.
 
Mwaka 2007 nilikua na ka bby kangu kakaja geto from kibaha mpka goms tumepiga story nikaomba mzigo kakasema nikaguse popote ila Pichu hakavui aiseee kalikazaa mwanzo mwisho nikaona isiwe shida mapenzi sio vita Wala ugomvi kalipo Rudi kwao nikafuta namba sikukatafuta Tena juzi naona sms yake inasema mambo mi flani nikavuta uzi mara penzi likachepua Tena nikamwambia aje chalinze akaja nikajilia mzigo bila hata kutoa jasho duuh Hawa viumbe mungu anawaona hahaha
2007 au 2017 mkuu? kama ni 2007 muda mrefu umepita.
 
Back
Top Bottom