Eti ni kweli wadada huwa hamfuti namba ya simu after break up?

kityentyee

Member
Mar 9, 2021
72
338
Amani itawale kwenu nyote Wadau

Nimeiokota pahala hii issue then nimeona niilete kwenu wadada kama topic. Hivi ni kweli nyie wadada huwa hamfuti namba ya simu haraka na kusahau. Regardless wewe mwanamke ndo umekua sababu ya kuachana or mwanaume ndo sababu yenu wawili kuachana but napenda mtujuze ni kweli huwa hamfuti or huwa mnachukua muda mrefu kufuta namba ya simu ya mwanaume after break up??

Lakini pia kama ni kweli huwa hamfuti namba je huwa mna sababu zipi zinazowafanya muendelee kutunza namba or connection yoyote ya mawasiliano na hao ma EX wenu after break up??

Itapendeza zaidi endapo kama wadada ndo mtatupatia majibu kwenye huu uzi BUT hata wanaume pia kama mnaweza kuchangia or kujazia chochote pia ruksa
 
Mwanamke huwa Ni ngumu kupata bwana mpya..Wana aibu pia....

So ni rahisi Sana mwanamke kirudi kugongwa kwa jamaa la awali..hasa Kama bwana wake huyu wa sasa kamboa pahali.tofauti na sis wababa unawahi club unamaliza unasepa....

Wanawake wengi hata walioolewa humalizia hasira za ndani ya nyumba kwa maex wao.....wanamtafuta tu la simu pale wanapowahitaji.....suala hili ndio huwafanya wanajuwa na viline vingi vingi....maana hawataki kutafutwa..wao ndio wanawatafuta....

Natumaini tumeelewana
 
Futa hiyo aya yako ya kwanza we kunguni..!
 
Mwanamke ni ngumu kupata bwana mpya?
 
Back
Top Bottom