Eti ni kweli wadada huwa hamfuti namba ya simu after break up?

Ujakutana na sie
Hiyo namba utakaa nayo mpaka nikuambie ifute
Ila kweli bhana nisijifanye mjanja sana hapa,kuna jamaa nilimgomeaga mbunye bas akanipiga mate tu akasepa...we bhana we...sijui ulimi alipakaga nini alikuwa mtamu balaa afu pia alikuwa mjuzi namna ya kunyonya lips zangu na kuzungusha ulimi pia.Nahis alitaka nikomoa tu maana sikumpataga tena
 
Mwanamke huwa Ni ngumu kupata bwana mpya..Wana aibu pia....

So ni rahisi Sana mwanamke kirudi kugongwa kwa jamaa la awali..hasa Kama bwana wake huyu wa sasa kamboa pahali.tofauti na sis wababa unawahi club unamaliza unasepa....

Wanawake wengi hata walioolewa humalizia hasira za ndani ya nyumba kwa maex wao.....wanamtafuta tu la simu pale wanapowahitaji.....suala hili ndio huwafanya wanajuwa na viline vingi vingi....maana hawataki kutafutwa..wao ndio wanawatafuta....

Natumaini tumeelewana
Ndio unavyojidanganya ??
 
Inategemea tu na x mwenyewe kuna jingine sio tu kufuta no.na laini unabadili kabisa maana halichelewi kukuharibia
 
Hawafuti cjui hawajiamin mmoj katoka kuniacha ingawa nilifuta namba kila nikiweka kitu stutus lzm akoment ndio nikajuwa kumbe ajafuta nmb zangu ..juz Kati nililila zangu asbh nakuta Miss call na msg juu ananiomba nimpe namba za mdg wangu wa kike cjamjibu nioichofata nilimbloku kbsa
 
Mwanamke huwa Ni ngumu kupata bwana mpya..Wana aibu pia....

So ni rahisi Sana mwanamke kirudi kugongwa kwa jamaa la awali..hasa Kama bwana wake huyu wa sasa kamboa pahali.tofauti na sis wababa unawahi club unamaliza unasepa....

Wanawake wengi hata walioolewa humalizia hasira za ndani ya nyumba kwa maex wao.....wanamtafuta tu la simu pale wanapowahitaji.....suala hili ndio huwafanya wanajuwa na viline vingi vingi....maana hawataki kutafutwa..wao ndio wanawatafuta....

Natumaini tumeelewana
Umenifumbua macho kwa nini Zuwena na Rachel waliolewa na matajiri ila bado nadunda nao
 
Ila yeye akikuacha... Wewe kumrudia inakuaga ngumu jamani... Ila yeye akitaka kukurudia sijui inakuagaje jamani... Yaani anakutumia meseji mbili tuuu unajikuta mmeshakuwa wabebi tenaaa...
Hata akijitongozesha au akikutaka kumkwepa ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom