Mh hii mada hii ina mambo. Juzi nimekutana na rafiki yangu ambaye alitengana na mumewe ilhali wana mtoto mmoja; kanichekesha eti kwa kuwa anahitaji mtoto wa pili basi kamwambia huyo bwana ajiandae mkao wa kula amgaie tu hizo mbegu.... lakini kuishi pamoja kama mke na mume NO!. Inanifanya nitafsiri maana halisi ya ndoa!!

Mmh!! Tunaelekea kwenye ndoa za mikataba sasa!Mh hii mada hii ina mambo. Juzi nimekutana na rafiki yangu ambaye alitengana na mumewe ilhali wana mtoto mmoja; kanichekesha eti kwa kuwa anahitaji mtoto wa pili basi kamwambia huyo bwana ajiandae mkao wa kula amgaie tu hizo mbegu.... lakini kuishi pamoja kama mke na mume NO!. Inanifanya nitafsiri maana halisi ya ndoa!!
Katavi umeona eh?!
AishaDii nakuelewa kabisa na yeye hata alivyonielezea nilimwelewa but why the pretendency? Its either urudiane naye for good (second and forever chance) kuliko unarudi nusu! Suppose naye akitaka mtoto wa tatu kwa mama yule yule? Akimfuata atakubali?

Nimesoma comment yako nimecheka sana ila it does make a lot of senseKatavi umeona eh?!
AishaDii nakuelewa kabisa na yeye hata alivyonielezea nilimwelewa but why the pretendency? Its either urudiane naye for good (second and forever chance) kuliko unarudi nusu! Suppose naye akitaka mtoto wa tatu kwa mama yule yule? Akimfuata atakubali?
Watu wakifuata maadili na nini kinahitajika kwenye ndoa basi ni hakika ndoa nyingi zitadumu sanaMarriage is like a dance,no matter how the music changes you keep on dancing............ wanandoa wakifuata falsafa hii bila shaka ndoa nyingi zitadumu. Na wanaoogopa kuoa wakiona ndoa zinadumu watapata moyo wa kuoa/kuolewa.
Mh hii mada hii ina mambo. Juzi nimekutana na rafiki yangu ambaye alitengana na mumewe ilhali wana mtoto mmoja; kanichekesha eti kwa kuwa anahitaji mtoto wa pili basi kamwambia huyo bwana ajiandae mkao wa kula amgaie tu hizo mbegu.... lakini kuishi pamoja kama mke na mume NO!. Inanifanya nitafsiri maana halisi ya ndoa!!
Marriage is like a dance,no matter how the music changes you keep on dancing............ wanandoa wakifuata falsafa hii bila shaka ndoa nyingi zitadumu. Na wanaoogopa kuoa wakiona ndoa zinadumu watapata moyo wa kuoa/kuolewa.
Watu wakifuata maadili na nini kinahitajika kwenye ndoa basi ni hakika ndoa nyingi zitadumu sana
Loh Mbu watu wanazo guts aisee. Yaani mie nilivyokuwa nasimuliwa sikutaka kuamini. But the ishu ni kuwa mke kashiklilia mpini mume makali. Maana mume alishaleta za kuleta akalazwa ndani kwa RB. Baada ya muda anabembeleza kurudi kwa familia yake so mke anaweka condition............hakuna kuishi pamoja but kwa kuwa nahitaji mtoto wa pili, jiandae, zitayarishe mbegu hizo mie najazichukua naincubeti.......... mwisho wa mchezo!!
dahhhh,....yaani nishaachana nae...mimi na maisha yangu naye ana yake, halafu anijie eti nimzalishe?
HAPANA AISEE...hata kama nilishazaa nae watoto wengine, hiyo haikubaliki.
anyway,...siwezi wasemea wengine kwakuwa tu mimi nilipitia bad breakups....acha nilee niliojaaliwa.
Mbu mimi bado natafakari huyo rafiki yake MJ1 mimi naona kama is more of a pleasure ila dah hata kama ni mimi no way ila sijui wana makubaliano gani au wako katika hali gani