Eti ndoa zimepitwa na wakati…………!

...lol,...naomba ufafanuzi!

duh Hapo sasa..............you keep on dancing till when you think you can dance no more and the highest degree of utility has been reached.

You dance until unahakikisha kuwa hata ukienda kuketi mwenzio hatokuwa na sababu ya kukulaumu kuwa ulimwacha kwenye dancing floor ilhali bado anayo hamu ya kuendelea kucheza.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu mimi bado natafakari huyo rafiki yake MJ1 mimi naona kama is more of a pleasure ila dah hata kama ni mimi no way ila sijui wana makubaliano gani au wako katika hali gani
The Finest...............sio pleasure nakwambia. The lady had other relationships after their breakup but aligoma kuzaa nao kwa kuwa hataki watoto wenye wababa tofauti. So alivyogundua kuwa ex anasuffer kutaka arudi ndio akaamua bora iwe hivyo.......zimwi likujualo!! Ila nimebakia nashangaa mpaka leo!!

Najiuliza sawa watu tuna malengo, mfano MJ1 nilitamani kwa rehema zake MUNGU niwe na watoto 3 kwenye maisha yangu sasa imetokea nimepata mmoja kisha mambo yakawa mambo kila mtu akakamata route yake. Sasa bado nipursue dream yangu? na kama jibu ni ndio ndo nirudi kwa yule yule ambaye ninajua kabisa we cant go along and it wont make any sense?! Kisa nataka watoto wa3 wa baba mmoja!!
 
Ndoa ni utumwa.
Watu wengi siku hizi hawependi utumwa.
Siyo mademu wala ma men.

nashindwa kukubaliana na wewe...... ndoa ni zaidi ya mapenzi... kutokana na lugha uliyotumia inaonesha umri wako bado sana but muda ukifika mwenyewe utajistukia kuna kitu unakosa katika maisha yako..
 
The Finest...............sio pleasure nakwambia. The lady had other relationships after their breakup but aligoma kuzaa nao kwa kuwa hataki watoto wenye wababa tofauti. So alivyogundua kuwa ex anasuffer kutaka arudi ndio akaamua bora iwe hivyo.......zimwi likujualo!! Ila nimebakia nashangaa mpaka leo!!

Najiuliza sawa watu tuna malengo, mfano MJ1 nilitamani kwa rehema zake MUNGU niwe na watoto 3 kwenye maisha yangu sasa imetokea nimepata mmoja kisha mambo yakawa mambo kila mtu akakamata route yake. Sasa bado nipursue dream yangu? na kama jibu ni ndio ndo nirudi kwa yule yule ambaye ninajua kabisa we cant go along and it wont make any sense?! Kisa nataka watoto wa3 wa baba mmoja!!

Kuna watu wako makini kutafuta mbegu nzuri, labda huyu dada ni mmoja wao!
 
Aksante kiraka loh.................mbegu nzuri ndo zikoje? mwe!! MMU ni shule

Mtoto mwenye afya, ana ngozi nzuri :):), mwenye akili timamu na huyo muhusika hana ugonjwa wowote ule wa kurithi toka kwa wazazi....ukiambiwa hawa kwao wana ugonjwa wa akili itabidi ufikirie mara mbili mbili kabla ya kuchojoa :):) ili kuzinasa mbegu.
 
MJ1, kuna dada mmoja alikuwa rafiki yangu, mpaka 2009 alikuwa hajapata wa kumwoa na aliwahi kuniambia hivyo, kwamba akifika 38 yrs hajaolewa, basi atatafuta mwanaume handsome, mrefu mwenye afya nzuri na akili sana, azae nae. Akiwa na maana hiyo itakuwa mbegu bora au nzuri kwake!
 
Duh............BAK haya maisha ya leo tunakutana shorii na man.......tunajuana kwanza kisha sometimes tukisha maliza yoote (na mimba juu) ndo tunapelekana kwa wazee....haya ukishagundua wana kichaa unafanyaje? ah mie jamani niacheni nistaafu maana ya usasa siyawezi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Duh aksante kiraka so hapa nahisi hatojali kama ni mume wa mtu au lah!! mwe!!
 
Duh............BAK haya maisha ya leo tunakutana shorii na man.......tunajuana kwanza kisha sometimes tukisha maliza yoote (na mimba juu) ndo tunapelekana kwa wazee....haya ukishagundua wana kichaa unafanyaje? ah mie jamani niacheni nistaafu maana ya usasa siyawezi!

Wengi ndio huwa hivyo...lakini wako wachache ambao huwa wanapima kwanza tena husafiri kwenda majuu ( maana mahospitali yetu hayaaminiki) kuangalia mambo yao yako sawa na kama mpaka damu zao hazileti mchecheto :):). Ukishagundua kama kwao wengi ni wehu basi mnaomba kwa sana ili Mungu awaepushe vinginevyo ni kuingia mitini haraka sana.
 
Dah naomba niiprint hii post kwa faida ya wadogo zangu! aksante BAK
 
dahhhh,....yaani nishaachana nae...mimi na maisha yangu naye ana yake, halafu anijie eti nimzalishe?
HAPANA AISEE...hata kama nilishazaa nae watoto wengine, hiyo haikubaliki.
anyway,...siwezi wasemea wengine kwakuwa tu mimi nilipitia bad breakups....acha nilee niliojaaliwa.

Mkuu Mbu unakumbuka ile thread yako ambayo ulionyesha hamu ya kujaliwa kupata mtoto wa kike halafu uchukue mwanao ushike 50 zako na mama ashike 50 zake. Je, kama huyu aliyekuwa shemeji yetu pamoja na matatizo yote yaliyotokea ambayo inaelekea yalikuwa makubwa sana angekupa nafasi hiyo ya kujaribu kupata binti na kama mkijaaliwa kila mtu anaangalia ustaarabu wake bado ungeipotezea nafasi hiyo au ungekaa chini kufikiria na labda kuipa nafasi ili utimize maombi yako ya kuwa na binti?
 
Loh Mbu watu wanazo guts aisee. Yaani mie nilivyokuwa nasimuliwa sikutaka kuamini. But the ishu ni kuwa mke kashiklilia mpini mume makali. Maana mume alishaleta za kuleta akalazwa ndani kwa RB. Baada ya muda anabembeleza kurudi kwa familia yake so mke anaweka condition............hakuna kuishi pamoja but kwa kuwa nahitaji mtoto wa pili, jiandae, zitayarishe mbegu hizo mie najazichukua naincubeti.......... mwisho wa mchezo!!

Maisha haya! Ni hakika kabisa kuwa ni mchanganyiko balaa

...wote wawili hawana akili hao,...wanataka kuleta watoto duniani kwenye mazingira yasiyo na mapenzi...
matokeo yake zitakuja lawama za haleti matuzo, hamlipii mwanae school fees etc... wakapimwe kwanza akili zao...
 
Mkuu Mbu unakumbuka ile thread yako ambayo ulionyesha hamu ya kujaliwa kupata mtoto wa kike halafu uchukue mwanao ushike 50 zako na mama ashike 50 zake. Je, kama huyu aliyekuwa shemeji yetu pamoja na matatizo yote yaliyotokea ambayo inaelekea yalikuwa makubwa sana angekupa nafasi hiyo ya kujaribu kupata binti na kama mkijaaliwa kila mtu anaangalia ustaarabu wake bado ungeipotezea nafasi hiyo au ungekaa chini kufikiria na labda kuipa nafasi ili utimize maombi yako ya kuwa na binti?

...rabeik!...

hata kule kwenye thread ile nilishapewa wazo hilo la kuzaa na ex wife nikawaambia hiyo haitawezekana!
hapana, sitaki kuzaa mtoto na mtu ambaye ataiweka roho yangu rehani...yaani nitapomuhitaji mtoto basi naye nimtimizie
mahitaji yake kwanza...nooooooo wayyyyy bana...hakuna mapenzi hapo, ni usumbufu na kero...

....i have been there...!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

...rabeik!...

hata kule kwenye thread ile nilishapewa wazo hilo la kuzaa na ex wife nikawaambia hiyoi haitawezekana!
hapana, sitaki kuzaa mtoto na mtu ambaye ataiweka roho yangu rehani...yaani nitapomuhitaji mtoto basi naye nimtimizie
mahitaji yake kwanza...nooooooo wayyyyy bana...hakuna mapenzi hapo, ni usumbufu na kero...

....i have been there...!

Naam Mkuu kama ukikumbuka varangati lilitokea na shemeji basi ni bora tu ukawa na msimamo thabiti ambao hautetereki. Sijui hili la kuamua kutafuta ujauzito na ex aliyekutenda wengine wanaliwezaje maana ni gumu mno kusema kweli, lakini ndiyo kama ujuavyo binadamu tunatofautiana kwenye kufanya maamuzi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

dahhhh,....yaani nishaachana nae...mimi na maisha yangu naye ana yake, halafu anijie eti nimzalishe?
HAPANA AISEE...hata kama nilishazaa nae watoto wengine, hiyo haikubaliki.
anyway,...siwezi wasemea wengine kwakuwa tu mimi nilipitia bad breakups....acha nilee niliojaaliwa.

Mbu, nimejiuliza hivyo hivyo.....mnaanzaje?
Hapana aisee....it doesnt matter tuliachana vipi, kifuli changu kukiona labda ukute nimekianika!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Inaelezwa kwamba kupuuzwa kwa mila na desturi na maadili ya kidini kumechangia sana kuharibu tabia za vijana ikiwa ni pamoja na mambo ya urafiki, uchumba hadi ndoa. Ndio maana uchumba umegeuzwa kuwa ndiyo nafasi pekee ya vijana kukutana kwenye majumba ya starehe na hatimaye kufanya ngono. Na hapo ndipo unapokuja kugundua kwamba hata zile ndoa za kimila za kale zinazohusisha Kisarawanda, ili kuthibitisha kama bi harusi hajawahi kushiriki tendo la ndoa yaani kama bado ni Bikira, hazipo tena.

Utathibitishaje wakati hata kabla ya uchumba binti keshazipoteza zamani. Na ndio maana siku hizi hata ndoa zimeonekana kama zimepitwa na wakati. Vijana rijali tena wakiwa na siha nzuri hawako tayari kuoa tena, na badala yake wamekuwa wakiwabadilisha mabinti watakavyo.

...iwapo kwa asilimia au kwa kiwango kikubwa nafurahia maisha na mwenza wangu, ambaye amejaaliwa mtoto/watoto na ex wake, nami nimejaaliwa watoto na ex- wangu...---- simtegemei, hanitegemei zaidi ya love & emotional support, tunakula raha za maisha na tuna share machungu yake.... kwa kifupi hatupeani presha zozote zaidi ya urafiki ---u soulmate wa haja...
kuna haja kweli ya kuchakachua mapenzi haya kwa kuoana hapa?
5273355_orig.jpg
https://www.jamiiforums.com/uploads/3/0/7/6/3076464/5273355_orig.jpg

...am writing through experience, kwamba urafiki wa kabla ya ndoa kwa sababu moja au nyingine unapotea baada ya ndoa....nipeni msaada wa mawazo kabla sijaambiwa namuharibia mtu maisha hapa...
nipeni sababu kwanini ni lazima awe na cheti cha ndoa mimi ni mumewe, nami niwe na chake ati nimejimilikisha kwa maandishi!

...wote wawili hawana akili hao,...wanataka kuleta watoto duniani kwenye mazingira yasiyo na mapenzi...
matokeo yake zitakuja lawama za haleti matuzo, hamlipii mwanae school fees etc... wakapimwe kwanza akili zao...

Hah pengine mdada anajitosheleza yaani hahitaji ugali wala schoolbag toka kwa mkaka?! Haya mambo bwana
 
Mbu ,kuna wengine bila maandishi hakijaeleweka lakini mie kama mie navoyadefine maisha mpaka sasa nimeupenda huu uzi kwakweli urafiki,love emotional support nini kingine mtu anahitaji labda aweza kukuambia assurance na security sijui tunaiweka kwenye kundi gani kwenye suala zima la mapenzi.

...iwapo kwa asilimia au kwa kiwango kikubwa nafurahia maisha na mwenza wangu, ambaye amejaaliwa mtoto/watoto na ex wake, nami nimejaaliwa watoto na ex- wangu...---- simtegemei, hanitegemei zaidi ya love & emotional support, tunakula raha za maisha na tuna share machungu yake.... kwa kifupi hatupeani presha zozote zaidi ya urafiki ---u soulmate wa haja...
kuna haja kweli ya kuchakachua mapenzi haya kwa kuoana hapa?
5273355_orig.jpg

...am writing through experience, kwamba urafiki wa kabla ya ndoa kwa sababu moja au nyingine unapotea baada ya ndoa....nipeni msaada wa mawazo kabla sijaambiwa namuharibia mtu maisha hapa...
nipeni sababu kwanini ni lazima awe na cheti cha ndoa mimi ni mumewe, nami niwe na chake ati nimejimilikisha kwa maandishi!

  • Thanks
Reactions: Mbu
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom