Eti nae katoka nyumbani amevaa

Biashara matangazo ati! Na wanaume tulivyo 'dhaifu' linapokuja suala la 'manyonyo', atatupata tu!
 
dah,kweli aibu,halafu anajichekesha!!!!huyu hajui neno aibu maishani mwake.hebu mtaje jina kabisa,
 
dah,kweli aibu,halafu anajichekesha!!!!huyu hajui neno aibu maishani mwake.hebu mtaje jina kabisa,

Alijiridhisha kwa kuwa anatoka usiku basi chakula cha mtoto hakionekani kutokana na kagiza giza na concentration ya watu kwenye issue zingine kumbe kuna wadau walitaka kuigilizia mshono wakagundua kitu waziwazi ukichanganya na mwanga wa camera umeleta kila kitu kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…